joramjason
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 425
- 132
Mumsamehe ni mwanafunzi na mawazo yake ni ya shule shule akikua atajifunza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hana akili huyu,saa kitu cha msing sanah ndoo maana hatuendelei sisis waafrikaDuh haya bhana!
Na hata unapokuwa unafanya "presentation" ofisini kwako au mahali popote ambapo ni "official" mbele za watu, toa simu yako/zako uangalie muda!
Tangu mobile technology isambae ktk nchi za ulimwengu wa tatu.matumizi ya saa yamebadirika, na kwamba soko lake limepotea kama sio kwisha.kilichobakia ni kununua kwa sababu ya choices na sio basic kama ilivyokuwa hapo mwanzo.
Barua za mkononi kuna watu wanatumia, na huwaambii kitu!ingawa bado njia mbadala ya kufikisha taarifa kwa urahisi zipo.
Huyu huenda hata vyupi havai kwa kuwa tiyari kuna sarawili teh teh teh!!!
Ni utoto tu. Ukikua utavaaView attachment 189231
Mimi nashindwa kuelewa kabisa watu (hasa wanaume) wanaovaa saa enzi hizi za dijitali kama wanafanya hivyo kwa makusudi au ni mbwembwe tu. Kwanini nasema hivyo? Siku hizi yapata 98% ya watanzania wote wanamiliki simu na kwenye simu kuna saa.
Utamkuta mwanamume sharobaro anamiliki simu 3 kwa mpigo na wakati huo huo katupia bonge ya saa kiganjani mwake. Kuvaa saa kwa wanawake inaleta maana kidogo kwa kuwa inachukua nafsi ya bangili ni pambo la kike.
Sikumbuki mara ya mwisho kuvaa saa na sitegemei kuivaa tena labda nikiwa kwenye chumba cha mtihani nitaibeba na kwenda nayo na baada ya kumaliza kupiga paper nitampa demu wangu avae kama bangili. Uvaaji wa saa enzi hizi unawafaa zaidi wanafunzi wa shule za msingi kwa kuwa wengi wao hawamiliki simu. Tujifunze kuishi kulingana na wakati.
:israel:
Aliyeanzisha huu uzi saizi anatamani mods waufute huu uzi.
Mtoa mada ni kibakuli km atakayemsupport...
Utoto wa mjini umekuharibu...ungekua unafanya kazi zinahohitaji saa ungeelewa umuhimu wa saa sio ututolee kitechno chako wakati kila mtu ana simu yake...!!! Umetokea Bunda nn ww