Kuvaa saa enzi hizi za dijitali ni mbwembwe au usharobaro?

Mumsamehe ni mwanafunzi na mawazo yake ni ya shule shule akikua atajifunza
 
Duh haya bhana!
Na hata unapokuwa unafanya "presentation" ofisini kwako au mahali popote ambapo ni "official" mbele za watu, toa simu yako/zako uangalie muda!
hana akili huyu,saa kitu cha msing sanah ndoo maana hatuendelei sisis waafrika
 
Kuvaa saa kwa mwanaume sio usharobaro,mbwembwe au kutaka kujionesha bali ni kujitambua,kudhamini na kujali mda!
Me mwenyewe napenda kuvaa saa!
 
Tangu mobile technology isambae ktk nchi za ulimwengu wa tatu.matumizi ya saa yamebadirika, na kwamba soko lake limepotea kama sio kwisha.kilichobakia ni kununua kwa sababu ya choices na sio basic kama ilivyokuwa hapo mwanzo.
Barua za mkononi kuna watu wanatumia, na huwaambii kitu!ingawa bado njia mbadala ya kufikisha taarifa kwa urahisi zipo.
 

Ni sawa na wale jamaa ambao bado wanatumiana salam redioni wakati namba za simu za hao wanaowatumia salam wanazo
 
Kuna imani iliyojengeka miongoni mwa jamii kuwa saa inaweka heshima flani hivi, huo ni mtazamo wangu tu.
 
Ni utoto tu. Ukikua utavaa
 
wewe una matatizo ya akili. wengine wakiingia ofsini simu-off, je simu ikiisha chaji, ? kuna sehemu simu binafsi aziruhusiwi. saa nyingine ni compas, ni recorder, etc? alafu tatizo liko wapi mtu kuvaa saa?
 
Kuangalia saa kwenye simu ni kupoteza muda pia. Mimi nina simu na nina saa pia lakini siwezi kupoteza muda kuanza kuchukua simu mfukoni mpaka kubonyeza na kuangalia muda wakati naweza kutumia sekunde tatu tu kwa kutumia saa yangu.
 
Saa ina umuhimu wake jamani tena iwe shaba au zile za rolex penda sana hizo saa, mtoa mada yupo out.
 
Mtoa mada ni kibakuli km atakayemsupport...
Utoto wa mjini umekuharibu...ungekua unafanya kazi zinahohitaji saa ungeelewa umuhimu wa saa sio ututolee kitechno chako wakati kila mtu ana simu yake...!!! Umetokea Bunda nn ww
 
Mtoa mada ni kibakuli km atakayemsupport...
Utoto wa mjini umekuharibu...ungekua unafanya kazi zinahohitaji saa ungeelewa umuhimu wa saa sio ututolee kitechno chako wakati kila mtu ana simu yake...!!! Umetokea Bunda nn ww

Mkuu sisi wa bunda tukoje?
 
Hahahahahaaa.... Rutashobolwa....usiwaze mbaba...Not personal bana....kaniboa tu huyu jamaa...ni km wanavyotania kwamba umetoka Uru Kishumundu...usiwaze ila mtoa mada kweli kibakuli...!!!
 
Last edited by a moderator:
kwangu mimi ni bora ninunue saa ya laki na nusu ,kuiliko sim ya gharama kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…