Kuvaa saa enzi hizi za dijitali ni mbwembwe au usharobaro?

TIME is MONEY
Tumwelimishe mtoa mada,ametoa mawazo yake yanayofanana na kichwa chake.this is Folish age,akikua atajua umuhimu wa kuvaa saa.
 
mleta mada kuvaa ni hobby wapo watu ambao ni machizi saa tena mmoja wapo mimi napenda sana saa....kila mtu anapendelea kitu fulani wengine neckles wengine braslet...labbda wewe unapendelea nn

Mkuu, mimi sipendi kuvaa kikorokoro chochote mwilini mwangu zaidi ya nguo, viatu na soksi.
 

Asante sana mkuu KIKOSIKAZI, wewe ndiye umeelewa hii mada kwa 101%, wengine wote, hasa wale wanaotukana, wako nje ya uelewa wa hoja. Hope kila mchangiaji angesoma hii comment yako angenielewa bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Wachangiaji mmeona eeh?
 
Last edited by a moderator:


Matumizi ya SAA yapo palepale...

tena Leo nimetoka kununua Seiko ya 250000/=
 
Last edited by a moderator:

You have spoken, huyu mleta maada unamsumbua uanafunzi. Akikua atakuja kutambua. Kama alitaka mawazo angekuja kwa style ya kujiuliza angepata mawazo ya watu mbalimbali na hiyo ingemsaidia ku-decide mwelekeo wake.
 

Wakati upi? acha wivu kama hauna huna tu!
 
Nami nilikuwa sio mtu wa kuvaa saa kabisa. But nikasema ngoja nijaribu. Sasa nina five years saa haibanduki mkononi. Nikitoka sijavaa saa naona kama vile sijavaa chupi... Saa inaongeza u smart wa mwanaume/mwanamke lakini kama shida ni muda tu waweza kutumia simu yako. Ila ukishaizoea saa yako hata hutakumbuka kutizama simu ili ujue muda, na hata betri ikiisha huwez kuvumilia kukaa na saa ambayo haina majira japo simu ipo lazima utaipeleka kwa fundi.
 
Kosea kusema usikosee kuandika... Upeo wa mwandishi umeishia kwenye mitihani ya memkwa.. Ukimpa habar ya umuhim wa saa kwa maeneo ambayk memkwa hawayajui ni kubaka akili yake..
 
Saa ni chombo kupima muda.ukweli kabisa umuhimu wa saa ya mkononi unepungua kwa walio wengi baada kuwepo kwa substute yaani chombo cha kubeba mkononi lakini chenye saa.vinginevyo labda kama unavaa kwa malengo mengine tofauti na mahitaji ya muda mf. Urembo, prestige, n.k.mimi binafsi sivai saa kwa vile mahitaji ya muda nayapata kwenye simu.ki ukweli quantity ya wavaa saa imepungua !mie sioni sababu ya kumshambulia huyo jamaa.simu haya zile za bei ya chini zina saa.watu wanakwepa ukweli kwa kutetea kipendacho roho.
 

Wakati huu wa sasa dijital hata kubeba pochi ni ushamba kwa mawanamme.
Simu ni mpango mzima isipokuwa watanzania hawajajua kuitumia tu.
1) unatembea na acount yako.
2) unatembea na email yako.
3) unatembea na notes zako.
4) unatembea mawasiliano yako popote ulipo.

Hivi tunatakiwa tuache kutembea na uzito usio wa lazima katika karne hii ya dijital
 
kaka saa its more of addiction kwa baadhi ya watu. People pay up to millions of $ kwa ajili ya saa tu, afu we unasema bangili.

Halafu asifananishe saa na bangili mbona ni vitu tofauti sana
 

Pamoja sana mkuu Ighombe, I appreciate your support and positive thinking towards wrist watches (ornaments). Ngoja wale wanaonipinga waje tusikie wanasemaje kwa wazo lako hili.
 
Last edited by a moderator:
Kosea kusema usikosee kuandika... Upeo wa mwandishi umeishia kwenye mitihani ya memkwa.. Ukimpa habar ya umuhim wa saa kwa maeneo ambayk memkwa hawayajui ni kubaka akili yake..

Kivipi mkuu Simbajr? Hebu funguka zaidi.......
 
Last edited by a moderator:
(Ngoja ninunue hii kesi..&#128515😉

Wengi wenu mnaotetea uvaaji wa saa mnavaa saa kama pambo na wala sio kwa ajili ya kutunza muda..! Ndio maana wengi mmekomalia saa inaongeza utanashati.. Mimi huwa mnanishangaza sana.. watu mnavaa mi saa mikuuubwa lakini ndio mnaongoza kuchelewa kwenye appointments.. hamna lolote! Wengine mnavaa saa hazina majira mizigo tuu.. acheni ushamba! Utetezi wenu kwamba ooh kuna sehemu haziruhusiwi.. ooh simu itaisha chaji.. oooh sijui nini kwangu hauna mashiko yoyote maana hata saa huwa zinaisha chaji/poteza majira vile vile..
 
Acha ushamba ww tupia saa, t-shet, jinsi na converse utokelezeee c kila muda mkono mfukon unatoa cm fanya hvyo mwananyamamala afu utaniadisia nn kilikutokea..?
 
MImi nafkri hili swala liko ki preference zaidi kutoka mtu na mtu..,
mtoa mada ni mtazamo wake
Na nyinyi mnaopinga ni mtazamo wenu
Mwisho wa siku kila mtu anasimamia
mtazamo wake anaoamin kuwa atakuwa
comfortable ktk maisha.
Nitatoa mfano mmoja..,kuna baadhi ya watu
(hapa bongo) wanaona kuendesha vi baby walker cars
ni ushamba au ni expression kuwa ni maskin
lakn ukienda hata miji mingi japan na ulaya hivo vigari ndo vingi
na kiuchumi wengi wao wako vizuri. SO is just a matter of one 's preference.
Ila labda niseme hata ukiwa na mtazamo wako unaoamini usilazimishe na wengine waufuate au kuuona
kuwa ni sahihi zaidi
Mwisho nakupongeza mtoa mada kwa uvumilivu wako to extent wengine kutumia lugha za matusi.
Nawasilisha
 
Haikuhusu, kama saa zimepita viwanda vingeacha kutengeneza. Mbona watu wanamiliki gari tatu,TV tatu, viatu pair 10 sasa,ata wewe ukiwa na hela utafanya ivoivo
 
Genuineme mbona unachapia lugha sema;hata wewe ukiwa na hela utafanya vivo hivyo.
 
Ni kutokea smart tu mkuu yani ni part ya mavazi.
Mfano kufunga mkanda wakati suruali haliwezi kudondoka hata usipofunga mkanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…