Gaidi ni nani? Nani anatoa hadhi ya Ugaidi? Ni vigezo gani vinatumika ku ''qualify'' ugaidi?Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.
Rejea statement ya rais Joe Biden kuhusu Isreal kuwa attacked na terrorists..Gaidi ni nani? Nani anatoa hadhi ya Ugaidi? Ni vigezo gani vinatumika ku ''qualify'' ugaidi?
Mungu Mkuu, muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo......ambaye pia anajulikana kama Mungu wa Israel.Mungu yupi unayemuongelea?
kwamba licha ya kua na nguvu ya kila kitu na kunionea utakavyo.Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.
One man's terrorist is another man's freedom fighter.Rejea statement ya rais Joe Biden kuhusu Isreal kuwa attacked na terrorists..
Kwenye hili yule mzee hakutaka kuwa mnafiki.Hata Nyerere alikuwa upande wa Wapalastina
Waafrika mnapenda kujipendekeza sanaMungu Mkuu, muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo......ambaye pia anajulikana kama Mungu wa Israel.
Wanapoteza maisha ndugu zetu wengi tu hapo Congo DR lakini huwezj kusikia wala kuona chochote kwa miafrika hii ila litokee jambo Ulaya, Marekani au Uarabuni utasikia miafrika ileile inatuma salaam za rambirambi na kuwatakia kheri!!!Miafrika inaumia zaidi miarabu na miyahudi ikiuana kuliko wamatumbi wenzenu wakiuana. Hiyo miarabu na miyahudi haiwapi hata pole kwenye madhira yenu ila nyie kila siku mnashoboka mtakuja kuolewa.
Kinachoendelea huko kinasikitisha at all levels ila acha wafu wazikane
Tujadili nini sasa?Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.
Aha! rejea statement yako kama ulionyesha umemkariri Joe BidenRejea statement ya rais Joe Biden kuhusu Isreal kuwa attacked na terrorists..
Hii ndiyo kauli yako, onyesha wapi kuna nukuu ya Joe Biden!Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.