Hector Cooper
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 696
- 1,036
Ni taifa la mchongo kutoka ulaya.Hao ni Walowezi tu kutoka Ulaya na Marekani. Hawajawahi kuwa uzao wa kwanza wa Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni taifa la mchongo kutoka ulaya.Hao ni Walowezi tu kutoka Ulaya na Marekani. Hawajawahi kuwa uzao wa kwanza wa Mungu.
Siyo vya ugaidi tu hadi vya demokrasia na kuwapa masharti ya kufuata ili awape misaada, hili nalo hulijui?Joe Biden ndie anatoa vigezo vya ugaidi?
Kwa akili tu ndogo Mungu apendelee watu flani tu haya mambo una yapata Afrika ndio maana atuendelei leo china wangekuwa na mawazo kama yako wasinge kuwa hapa walipoNdo maana nikasema Mungu Mkuu ambaye ni muumba wa dunia na ulimwengu na vyote vilivyomo, hao uliowataja ni miumgu ambayo haiwezi kuumba hata sisimizi. Kwa mantiki hii Mungu Mkuu ndiyo anajulikana pia kama Mungu wa Israel na ndo ninayemwongelea hapa.
Sijatunga mimi bali iko hivyo kwenye maandiko, huna haja ya kuwa na wivu, chuki na hasira.......vinginevyo utakuwa unamkasirikia Mungu😂😂Kwa akili tu ndogo Mungu apendelee watu flani tu haya mambo una yapata Afrika ndio maana atuendelei leo china wangekuwa na mawazo kama yako wasinge kuwa hapa walipo