Kuvamiwa kwa Israeli, mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mwenyezi, inaashiria nini kwa dunia?

Kuvamiwa kwa Israeli, mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mwenyezi, inaashiria nini kwa dunia?

Ndo maana nikasema Mungu Mkuu ambaye ni muumba wa dunia na ulimwengu na vyote vilivyomo, hao uliowataja ni miumgu ambayo haiwezi kuumba hata sisimizi. Kwa mantiki hii Mungu Mkuu ndiyo anajulikana pia kama Mungu wa Israel na ndo ninayemwongelea hapa.​
Kwa akili tu ndogo Mungu apendelee watu flani tu haya mambo una yapata Afrika ndio maana atuendelei leo china wangekuwa na mawazo kama yako wasinge kuwa hapa walipo
 
Kwa akili tu ndogo Mungu apendelee watu flani tu haya mambo una yapata Afrika ndio maana atuendelei leo china wangekuwa na mawazo kama yako wasinge kuwa hapa walipo
Sijatunga mimi bali iko hivyo kwenye maandiko, huna haja ya kuwa na wivu, chuki na hasira.......vinginevyo utakuwa unamkasirikia Mungu😂😂

Kitabu cha Kutoka sura ya 4;
22 Nawe umwambie Farao, Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu;

23 nami nimekuambia, Mpe mwanangu ruhusa aende, ili apate kunitumikia, nawe umekataa kumpa ruhusa aende; angalia basi, mimi nitamwua mwanao, mzaliwa wa kwanza wako
 
Back
Top Bottom