Kuvamiwa kwa Israeli, mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mwenyezi, inaashiria nini kwa dunia?

Kuvamiwa kwa Israeli, mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mwenyezi, inaashiria nini kwa dunia?

Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.​
Taifa hili au
Screenshot_20231009-205843.jpg
Screenshot_20231009-205822.jpg
 
Toa reference ya maandiko matakatifu yanayosema Israel ni mzaloliwa wa kwanza wa Mungu.
Kitabu cha Kutoka sura ya 4;
22 Nawe umwambie Farao, Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu;

23 nami nimekuambia, Mpe mwanangu ruhusa aende, ili apate kunitumikia, nawe umekataa kumpa ruhusa aende; angalia basi, mimi nitamwua mwanao, mzaliwa wa kwanza wako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti first born[emoji23][emoji23]please Go and read your Bible again. "The synagogue of Saturn " Jesus called them.
Kitabu cha Kutoka sura ya 4;
22 Nawe umwambie Farao, Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu;

23 nami nimekuambia, Mpe mwanangu ruhusa aende, ili apate kunitumikia, nawe umekataa kumpa ruhusa aende; angalia basi, mimi nitamwua mwanao, mzaliwa wa kwanza wako.
 
Wanapoteza maisha ndugu zetu wengi tu hapo Congo DR lakini huwezj kusikia wala kuona chochote kwa miafrika hii ila litokee jambo Ulaya, Marekani au Uarabuni utasikia miafrika ileile inatuma salaam za rambirambi na kuwatakia kheri!!!
Ni unafiki na ujinga kutoona janga mlangoni kwako na kujifanya waliona la jirani yako!
Yaani kama tumerogwa,unakutana na mtu unamheshimu kabisa unakuta anapepeerusha bendera ya israel!![emoji38]

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni kwa majadala.​
Hivi nchi za mashariki ya mbali kama India,Japan,China,Mongolia n.k wao wana mawazo kama yako ya kufikiria mambo ya Ibrahim na kizazi chake.
Hiki kiburi mnachowapa waisraeli kuwa ni taifa teule linawapa kichwa sana
Usilazimishe imani yako kwa wengine.Nchi nilizotaja wala hawatambui uwepo wa huyu mungu wetu wana miungu yao na mambo yao yanakwenda fresh tu.
Mbwa wa mfalme hawezi kuwa mfalme wa mbwa wote
 
Ndo maana nikasema Mungu Mkuu ambaye ni muumba wa dunia na ulimwengu na vyote vilivyomo, hao uliowataja ni miumgu ambayo haiwezi kuumba hata sisimizi. Kwa mantiki hii Mungu Mkuu ndiyo anajulikana pia kama Mungu wa Israel na ndo ninayemwongelea hapa.​
 
Mzaliwa wa Mungu kwa mujibu wa nani?

Mzaliwa wa kwanza kwa Mujibu wa Biblia ni mwana wa Mungu wa kwanza ambaye ni kristo na kuna mzaliwa wa pili the same way wa tatu na kuendelea.

Mzaliwa wa kwanza wa watu/wanadamu ni yule kidini tunamuita Adamu ilihali hakuitwa haya majina haramu ya wazungu/waarabu na mzaliwa wa pili kwa wanadamu na kuendelea ni jinsi ngazi ya uzao toka kwa mtu wa kwanza mpaka wa mwisho kuja kuzaliwa inavyokwenda.

Kiufupi Muumba wa kweli hana mzaliwa pekee wala mzaliwa mmoja bali viumbe wote wa kiroho na kimwili ni wazaliwa wake yaani wana wa kwake.

Malaika ni wana wa Mungu, maserafi, makerubi mpaka wanadamu ni wana wa Mungu.

Huo mfumo wa kusema taifa fulan ni wana wa Mungu sijui au yesu ndie mwana pekee wa Mungu huo ni ushetani walioutunga wazungu wa kirumi waliobadiri maandiko kwa maslahi yao na ndio hawa hawa walishirikiana kuunda taifa la mchongo hapo middle east ili kutawala jamii za waarabu kisiasa na kiuchumi bila kusahau kiimani, kupitia uongo wallioutunga kwa kuwaaminisha watu.

Israel ya sasa sio lile taifa la Biblia maana hawa wamejiunda wao kwa maslahi yao wala hawana historia yoyote , ya kuishi hapo kwakuwa hata kihistoria Israel ya kweli haikuwepo eneo hilo la waarabu

Migogoro haitokwisha kati ya hao wazungu wanaojiita waisrael na hao waarabu, maana historia ilishawakataa hao jamaa kuwa wao si wa eneo hilo na wala wao si waisrael wa kweli, hivyo watabaki kuua raia bure kwa kuforce kukalia ardhi kimabavu na kulazimisha historia isiyo yao.
Achana na hilo jamaa jinga limelishwa maneno likaamini.
 
Miafrika inaumia zaidi miarabu na miyahudi ikiuana kuliko wamatumbi wenzenu wakiuana. Hiyo miarabu na miyahudi haiwapi hata pole kwenye madhira yenu ila nyie kila siku mnashoboka mtakuja kuolewa.

Kinachoendelea huko kinasikitisha at all levels ila acha wafu wazikane
Inapenda kujipendekeza sana.
 
Back
Top Bottom