Kuvumiliana JF

Kuvumiliana JF

Status
Not open for further replies.
1. mpwayungu village yuko banned
2. Ummughaka na story yake akinyi must die yuko banned
3. Cocastic yuko banned
4. Deepond mzee wa story ndefu

Nimeona wengi kweli 🤣 Tujifunze kuwa na uvumilivu humu ndani Pamoja na kuwa hatufahamiani ila bado sisi ni wamoja JF ni yetu sote. .
HESHIMA ni pamoja nakutumia lugha nzuri bila kuwatusi watu hata kama hupendi hoja zake. Wengine humu ndani wana umri sawa na baba zenu. Great Thinkers gani hwajihshimu Wala kuheshimu mawazo ya mtu mwingine
 
Nimebugi leo.......
Ila ukitaka kula na kipofu usimshike mkono.😂😂😂.
Next time sitawaambia watu kuwa nafuatilia kwa ukaribu.
We next time enjoy movie kimya kimya, uzuri huku kama ulisomea Cuba kuna story tu hata ziwekwe code vipi utang'amua.😂😂

Kuna watu wakichokozwa kidogo tu lazima wapanik wafunguke so mwisho wa siku story yote unaipata.
 
Ndugu wananzengo ndani ya uzi huu
Screenshot_20230407-102845.png
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom