Adamjuma94
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,292
- 4,752
Eti Uligoma! Wakati ulishawatumia tayari pesa250,000? Kuna watu hamjielewJamaa awa wa Instagram ni matepeli hivyo hivyo na mimi nilitapeliwa 270K TZS nilikuwa nataka kununua laptop wakaniambia nitume pesa nusu kwanza nikatuma laki mbili na nusu. Nilivyo tuma wakaniambia awawezi kutuma uwo mzigo kwa agent wao eti kwasababu ya corona wana avoid social distancing kwaiyo ni hatari kwa agent wao wakanitaka nimalizie kiasi cha pesa kilicho baki ndyo waitume mimi nikagoma. Then wakani block. Nimesha potezea coz ni mda sasa lakini siyo mbaya coz nimejifunza kitu. Biashara mtandaoni imejaa utapeli jiahari
Wakuu kwema..
Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala ...mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar simu ukisha order inakuja na boat ya mchana kwa maelezo yake.... Nilivotuma hiyo pesa aka confirm kwamba kapokea akiniahidi kwamba atanipa mamba ya mtu anaefanya delivery huku Dar ndo maongezi yakaishia hapo...kila nkimwambia anitumie hiyo namba kimya na kaniblock jamani naombeni msaada nataka niende police je kuna utaratibu gani huko kwa kesi za kutapeliwa mtandaoni....?? Naombeni muongozo karibuni
Watu wapo open hvyo wanamtapeli vipi? Aweke mazungumzo yao pia alete na screenshot za muamala aliofanya....nipo karibu na gogoni hapa naweza mchek jamaa yangu akamsaidia
Kutokana na kauli inayotumika kukutungulia huko juu uliko, ili kukushusha chini alipo.Hiviii unaanzaje kuingia king kirahisi hivii????
Kwa sisi wakristo tunasemaga BWANA AMETOA BWANA AMETWAA.....
Sent from my SM-M105F using JamiiForums mobile app
Hela zikizidi bana ...unakua kama umelogwa...Wakuu kwema..
Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala ...
Mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar simu ukisha order inakuja na boat ya mchana kwa maelezo yake.... Nilivotuma hiyo pesa aka confirm kwamba kapokea akiniahidi kwamba atanipa mamba ya mtu anaefanya delivery huku Dar ndo maongezi yakaishia hapo...
Kila nkimwambia anitumie hiyo namba kimya na kaniblock jamani naombeni msaada nataka niende police je kuna utaratibu gani huko kwa kesi za kutapeliwa mtandaoni....?? Naombeni muongozo karibuni
Labda kna msukuma Alim eat n runHuyu kunguru hajielewi mwenye maada hajataja kabila lake yeye tayari karopoka
Mwenzako anasema mtumba, wewe unasema dukani, ama haujasoma mtiririko mzima?Sasa mkuu unaanzaje kumtumia mtu fedha tigopesa au mpesa? Kwani wewe mwenyewe kwenda dukani ukajiridhisha na bidhaa kuna nini?
Basi kuna mtu akanasa.nilishakutana nae sana kupatana nikawa nacheka tu kwa sababu najua bei za apple devices
Watu wapo open hvyo wanamtapeli vipi? Aweke mazungumzo yao pia alete na screenshot za muamala aliofanya....nipo karibu na gogoni hapa naweza mchek jamaa yangu akamsaidia
Kwa Hali hii kanda ya ziwa tutaendelea kudharaulika.
Masikini kachukua kwenye mshahara afu ulikuwa bado wa motoImeisha Hiyo.
Kuwa Smart Next Time.
Ndio ndo Hugo Hugo mkuu[emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 1461427
Jamaa nafkir ni huyu
Umepigwa kizembe mimi kutuma hela nlisahau miaka,labda nimtumie hela ya sandaWakuu kwema..
Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala ...
Mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar simu ukisha order inakuja na boat ya mchana kwa maelezo yake.... Nilivotuma hiyo pesa aka confirm kwamba kapokea akiniahidi kwamba atanipa mamba ya mtu anaefanya delivery huku Dar ndo maongezi yakaishia hapo...
Kila nkimwambia anitumie hiyo namba kimya na kaniblock jamani naombeni msaada nataka niende police je kuna utaratibu gani huko kwa kesi za kutapeliwa mtandaoni....?? Naombeni muongozo karibuni
Sanaaaaa😂😂Kwa Hali hii kanda ya ziwa tutaendelea kudharaulika.