Usijichanganye, unaweza kutuma mpaka ya kutolea na asije. Inabidi umjue mjaji na asiyekuwa na mpango wa kuja.Ukimshtua na muamala lazima atimbe....
Tutafute hela, wanawake hawana majibu mabaya hata kidogo. Ni watiifu kweli kweliLeo nimeamua niwape TiP wale amateurs kwenye dating & hooking up games kuwa ukiona unapokea majibu ya aina hii usipoteze muda hata kidogo. Endelea na shughuli zingine za kujenga taifa tu.
1. Labda ntakuja...(Hii ni kwamba haji kabisa)
2.Ntakujulisha....(Hana mpango wowote na wewe)
3. Sina hakika sana.... (Huyo ana uhakika kabisa haji)
4.Ntajitahidi nije...( Hatajitahidi kwa lolote)
5.Ntakufikiria usijali...(Hana ambacho atakifikiria hata kidogo)
Check with the next girl huyu wacha apumue zake ana mtu wa kumkeep busy.
Ukimshtua na mwamala wa maana atawashwa tu. Malay wanapenda sana pesa. Hata asipokuja siku hiyo atakutafuta tu sababu atataka tena hela yako na atakuja na utetezi wa kipuuzi tu ila atakuja.Usijichanganye, unaweza kutuma mpaka ya kutolea na asije. Inabidi umjue mjaji na asiyekuwa na mpango wa kuja.
Lengo sio siku nyingine, mleta mada anazungumzia siku hiyo.Ukimshtua na mwamala wa maana atawashwa tu. Malay wanapenda sana pesa. Hata asipokuja siku hiyo atakutafuta tu sababu atataka tena hela yako na atakuja na utetezi wa kipuuzi tu ila atakuja.
Hio idea nzuri ila inaweza kukutia hasara kubwa tu.Ukimshtua na mwamala wa maana atawashwa tu. Malay wanapenda sana pesa. Hata asipokuja siku hiyo atakutafuta tu sababu atataka tena hela yako na atakuja na utetezi wa kipuuzi tu ila atakuja.
Uwekezaji, hata siku nyingine si ni siku mkuu. Kama ni gono atakuambukiza hiyo siku.Lengo sio siku nyingine, mleta mada anazungumzia siku hiyo.
Utaliwa Hela Hadi uchoke na utelezi no ukikutana na mwalimu labda kama ni kodi za wapangaji au una mirija ya ufisadi hazina uchungu hizi kuziwekeza kwenye starehe hii ya mwafrikaUkimshtua na mwamala wa maana atawashwa tu. Malay wanapenda sana pesa. Hata asipokuja siku hiyo atakutafuta tu sababu atataka tena hela yako na atakuja na utetezi wa kipuuzi tu ila atakuja.
Inawork mara zote mkuu. We tuma hata laki asipokuja kaa kimya usimsumbue utaona tu atakavyorudi kwa speed huku akijua litakalomkuta. Ni mijinga sana ikashawaza fedha.Hio idea nzuri ila inaweza kukutia hasara kubwa tu.
Malaya na pesa ni kama mapacha. Atakufata tu. Wala huitaji kutuma mara mbili, ile mara ya kwanza tu inatosha. Tuma pesa ambayo unajua yeye hajaizoea. Kama kazoea 10, tuma 50. Kama kazoea 50 tuma laki halafu utaona kama anaweza kukupuuza. Atawashwa tu.Utaliwa Hela Hadi uchoke na utelezi no ukikutana na mwalimu labda kama ni kodi za wapangaji au una mirija ya ufisadi hazina uchungu hizi kuziwekeza kwenye starehe hii ya mwafrika
Msuburi atakujaWakuu, na vipi demu ukimtongoza then ukaomba show Alafu akikuambia atakuja akipata muda imekaaje hii??
Sent using Jamii Forums mobile app
Jidanganye 😃😃Ukimshtua na muamala lazima atimbe....