Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila usije tu ukanilaumu😃😬Huenda ni kweli ntajaribu kukutumia siku moja nikishinda mkeka.
Vizuri kama hata una Imani😃😃, jitahidi kabla January haijaishaNa imani hautaniangusha tu😂
Nakazia📌Mkuu sijui kwanini nawiwa kusema urudishe Ile avatar yako ya mwaka jana😌😌
Hahhaa kuna kaukweli kiasi, sometimes unashindwa kumchana mtu ukweli
makubwaKausha damu hamna chenu 2024
Kwahiyo blaza yaani utume laki kubet puss*?wakati hiyo laki ungepata pus*y kali na bila usumbufu ikakupa raha ya kutosha...Malaya na pesa ni kama mapacha. Atakufata tu. Wala huitaji kutuma mara mbili, ile mara ya kwanza tu inatosha. Tuma pesa ambayo unajua yeye hajaizoea. Kama kazoea 10, tuma 50. Kama kazoea 50 tuma laki halafu utaona kama anaweza kukupuuza. Atawashwa tu.
Upo sawa ila Maisha ni kuchagua. Ww tu na namna ulivyoamua kutumia fedha yako uliyoitafuta kwa jasho lako wala usimpangie mtu na laki yake.Kwahiyo blaza yaani utume laki kubet puss*?wakati hiyo laki ungepata pus*y kali na bila usumbufu ikakupa raha ya kutosha...
Kuna mmoja alikula ten langu mwaka mpya ila sikumuona Hadi Leo mkuuUkimshtua na muamala lazima atimbe....
Pole hahahaKuna mmoja alikula ten langu mwaka mpya ila sikumuona Hadi Leo mkuu
Kuna weekend nilimtafuta mrembo nimtoe dinner tukafahamiane. Nilipanga kutumia chini ya 2hrs, one day before hajakubali akaniuliza tutaenda kiwanja gani (namna ya kulinganisha hadhi). Nikamtajia sehemu ya kawaida ila haiko mbali, lengo langu asinicheleweshe nikimaliza mambo yangu nachomoka faster nafika mazingira anasogea nimsome kama anafaa kwa kampani.Leo nimeamua niwape TiP wale amateurs kwenye dating & hooking up games kuwa ukiona unapokea majibu ya aina hii usipoteze muda hata kidogo. Endelea na shughuli zingine za kujenga taifa tu.
1. Labda ntakuja...(Hii ni kwamba haji kabisa)
2.Ntakujulisha....(Hana mpango wowote na wewe)
3. Sina hakika sana.... (Huyo ana uhakika kabisa haji)
4.Ntajitahidi nije...( Hatajitahidi kwa lolote)
5.Ntakufikiria usijali...(Hana ambacho atakifikiria hata kidogo)
Check with the next girl huyu wacha apumue zake ana mtu wa kumkeep busy.
Mpenda ukuni hali nauli, laZima amjue anaemtumia ana interest sawa na zake au laahUsijichanganye, unaweza kutuma mpaka ya kutolea na asije. Inabidi umjue mjaji na asiyekuwa na mpango wa kuja.
Huyo ulimuweza kweri kweri 😂 haezi rudia huo ujinga. Akili hio anayo mwanangu Jay 26. Huyo ukizingua promise hata dakika 5 tu anakutupa na namba anafuta😂😂😂Kuna weekend nilimtafuta mrembo nimtoe dinner tukafahamiane. Nilipanga kutumia chini ya 2hrs, one day before hajakubali akaniuliza tutaenda kiwanja gani (namna ya kulinganisha hadhi). Nikamtajia sehemu ya kawaida ila haiko mbali, lengo langu asinicheleweshe nikimaliza mambo yangu nachomoka faster nafika mazingira anasogea nimsome kama anafaa kwa kampani.
Kwenye chats akadai "kwanza sijui kama nitapata muda" nikamwambia hapohapo acha usijue siji tena. Nina mambo mengi ya kufanya sitaki majaribio.