Kuwa makini na aina hii ya majibu toka kwa mwanamke

Kuwa makini na aina hii ya majibu toka kwa mwanamke

Malaya na pesa ni kama mapacha. Atakufata tu. Wala huitaji kutuma mara mbili, ile mara ya kwanza tu inatosha. Tuma pesa ambayo unajua yeye hajaizoea. Kama kazoea 10, tuma 50. Kama kazoea 50 tuma laki halafu utaona kama anaweza kukupuuza. Atawashwa tu.
Mbna unapita mule mule, ila sio kwa Malaya hata wa kawaida pia.
 
Leo nimeamua niwape TiP wale amateurs kwenye dating & hooking up games kuwa ukiona unapokea majibu ya aina hii usipoteze muda hata kidogo. Endelea na shughuli zingine za kujenga taifa tu.

1. Labda ntakuja...(Hii ni kwamba haji kabisa)

2.Ntakujulisha....(Hana mpango wowote na wewe)

3. Sina hakika sana.... (Huyo ana uhakika kabisa haji)

4.Ntajitahidi nije...( Hatajitahidi kwa lolote)

5.Ntakufikiria usijali...(Hana ambacho atakifikiria hata kidogo)

Check with the next girl huyu wacha apumue zake ana mtu wa kumkeep busy.
heeeee jaman 😀😀😀
 
Back
Top Bottom