Kuwa makini na aina hii ya majibu toka kwa mwanamke

Leo nimeamua niwape TiP wale amateurs kwenye dating & hooking up games kuwa ukiona unapokea majibu ya aina hii usipoteze muda hata kidogo. Endelea na shughuli zingine za kujenga taifa tu.

1. Labda ntakuja...(Hii ni kwamba haji kabisa)

2.Nitakujulisha....(Hana mpango wowote na wewe)

3. Sina hakika sana.... (Huyo ana uhakika kabisa haji)

4.Nitajitahidi nije...( Hatajitahidi kwa lolote)

5.Nitakufikiria usijali...(Hana ambacho atakifikiria hata kidogo)

Check with the next girl huyu wacha apumue zake, ana mtu wa kumkeep busy.
Ukianza kuitwa Dear, au kujibiwa kwa imoj moja bila maneno.
 
Leo nimeamua niwape TiP wale amateurs kwenye dating & hooking up games kuwa ukiona unapokea majibu ya aina hii usipoteze muda hata kidogo. Endelea na shughuli zingine za kujenga taifa tu.

1. Labda ntakuja...(Hii ni kwamba haji kabisa)

2.Nitakujulisha....(Hana mpango wowote na wewe)

3. Sina hakika sana.... (Huyo ana uhakika kabisa haji)

4.Nitajitahidi nije...( Hatajitahidi kwa lolote)

5.Nitakufikiria usijali...(Hana ambacho atakifikiria hata kidogo)

Check with the next girl huyu wacha apumue zake, ana mtu wa kumkeep busy.
Walah nimecheka kwa nguvu!!
 
Back
Top Bottom