Kuwa makini na aina hii ya majibu toka kwa mwanamke

Makubwa [emoji15]
Kwahiyo sikuhizi sisi ndo tunatakiwa kutafuta mwanaume?
Tayana-wog kwanza wewe, Leejay49 na Victoire huwa nawazimia sana, ila kiukweli wasiwasi wangu tu kuwaweka katika himaya yangu nisijeingia cha Kiume kwa kukutana na Me wenzangu au Shemele (utani) [emoji38].

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Makubwa [emoji15]
Kwahiyo sikuhizi sisi ndo tunatakiwa kutafuta mwanaume?
Kwanini sasa huwa mnataka haki sawa na Me isipokuwa kuhusu pesa pekee?

Starehe si tunapata wote?

Ke wangu wa ndoa atakuwa anapata stahiki zote kwa 75% ila Michepuko kwakweli inabidi tujadili kwanza kwenye vikao vyetu Me [emoji125][emoji847]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
7. Anayekujibu hivi:
  • P badala ya Poa
  • K badala ya Okay
  • bdy badala ya Baadaye
  • mmb badala ya mambo!
  • Sw badala ya Sawa
Type ya wanawake ninaowapenda kwa sasaβœ…οΈ kinachohitajika apa ni mwanaume kuwa na kauli + msimamo..
Hao wenye kuwa na miandiko mizuri ni kama wanashindana kuprovide charity, Oovyoo kabisa
 
Enzi zangu sikua na hata muda wa kupoteza huo..nilikua short amd straight.

1.Mambo!.

2. Are u availlable??

3. Unatoa service gani? (Ushaelewa)

4. How much?

5. I have this much, u okay?

6. Send me pic!

7. Natuma location

Imeisha
 
Hapa wale wa KATAA NDOA wanamaisha mazuri sana! Hawataki stress za kipuuzi kama hizo wake/mademu za watu wanaliwa sana
Sasa unajua stress za maisha si hofu ya kugongewa tu, hata asiye na ndoa ana stress zake maana matukio ni mengi.

Kuhusu hofu ya kugongewa hata usiyemuoa kama ni kugongwa anagongwa tena kwa uhuru zaidi maana hana mkaba unaomfunga.

Ndoa ni muhimu kwa baadhi ya watu kama sisi tunaotaka kulea watoto chini ya mwavuli wa familia ila ikitokea akawa malaya basi ni bahati mbaya unamwacha.

Asiyeoa pia aheshimiwe sababu ana sababu zake zenye umuhimu kwake, tusipangiane tu. Tatizo la kataa ndoa ni mahubiri, usioe usioe.
 
Makubwa ss km hakuna Cha maana zaidi si Bora ubaki Kwa mkeo tu?
Baki Kwa mkeo,hiyo pesa muongezee mkeo !
Kama alivyosema mdau, kuna mambo huwezi mfanyia mkeo sababu unamtunza na ana cha ziada anachokupa mfano kulea wanao ila malaya unamfanya tu halafu unamlipa sababu hana cha ziada anachokupa. Ni mwanaume Jinga jinga ndo atatunza malaya.
Haijalishi mwanamke sio mkeo,wote sijui mnafurahia tendo mwanamke lzm umtunze Aisee,πŸ˜…
Anayetunzwa ni mke, malaya sijui mchepuko analipwa. Elewa tofauti.
Btw km unaona wa nn hasthili sbb sio mke,basi huna tofauti na wanaonunua , hiyo fresh
Ila km ni wapenzi acha tu watutunze
Malaya analipwa ili aingiliwe ila hana cha ziada anachotoa. Malaya ni malaya tu hata kama hasimami kununuliwa au ananunuliwa kwa mtindo tofauti as long as sio mke wewe hautunzwi unalipwa.

We sema kuna malipo ya pesa ndefu mpaka unajitunza mwenyewe.
 
Huyu ni wewe boss. Kuna ambaye hata akiishi miaka 2 tu ila akanywa konyagi na kupaka mkongo kisha akaifumua mpaka ibadilike rangi anaridhika.

Na ukimwambia mambo ya ukimwi sijui michubuko anakuona muhubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…