Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Sasa kampun inaitwa piga unategemea niniPigaBet ndio kubwa la matapeli. Wengine ambao wanakuwa na upumbavu ni mkeka bet, wakiona umekula sana wanakushusha kiwango chako Cha kubet.
Kidogo wanaojitahidi ni BetPawa, Hawa ndio naona hawana sana ujinga.
SportPesa mzee?PigaBet ndio kubwa la matapeli. Wengine ambao wanakuwa na upumbavu ni mkeka bet, wakiona umekula sana wanakushusha kiwango chako Cha kubet.
Kidogo wanaojitahidi ni BetPawa, Hawa ndio naona hawana sana ujinga.
M beKampuni zangu za kubet
Bet pawa , sport pesa na m bet
Spot pesa wako vemaSportPesa mzee?
Acha nitie mzigo SportpesaM be
Spot pesa wako vema
Wako vizuri, mkeka ukitiki mkwanja unaingia fasta tu, hakuna longolongoBetika je wakuu??
Sportpesa pekee ndiyo huwa naielewa na utaenjoy kwa kutumia Google na siyo appKuna makampuni matatu ambayo kiukweli usijaribu kuweka dau refu au usiwategemee sana pindi unapobashiri michezo mbalilili.
1.Gal spot Betting; hawa jamaa siku wakiliwa sana wanazima mtandao,au wakiona kuna mechi zimekaa mkao wanahofu watapigwa lazma wazime mtandao.Ukiweka dau kubwa kuanzia 50,000 jiandae kutapeliwa.
2.Meridian bet.hawa nao Tabia zao no kama za galsport.
3.Slot pesa; Hawa pia nao matapeli ukiweka dau kubwa jiandae kuibiwa ,mtandao watakuzimia
Kaa chonjo na haya makampuni
Betika watu wanawalalamikiia sana hasa ukipiga hela ndefu longolongo kibaoWako vizuri, mkeka ukitiki mkwanja unaingia fasta tu, hakuna longolongo
Sports pesa awanaga longolongo.Acha nitie mzigo Sportpesa