Kuwa makini na hizi kampuni zifuatazo za kubeti maana ni matapeli

Kuwa makini na hizi kampuni zifuatazo za kubeti maana ni matapeli

Dawa Ni Kuacha Kufanya Betting
Si kitu rahisi kuacha, hapa naendelea na virtual

1663617086237.png
 
Kuna makampuni matatu ambayo kiukweli usijaribu kuweka dau refu au usiwategemee sana pindi unapobashiri michezo mbalilili.

1.Gal spot Betting; hawa jamaa siku wakiliwa sana wanazima mtandao,au wakiona kuna mechi zimekaa mkao wanahofu watapigwa lazma wazime mtandao.Ukiweka dau kubwa kuanzia 50,000 jiandae kutapeliwa.
2.Meridian bet.hawa nao Tabia zao no kama za galsport.
3.Slot pesa; Hawa pia nao matapeli ukiweka dau kubwa jiandae kuibiwa ,mtandao watakuzimia
Kaa chonjo na haya makampuni
Huu Uzi ni batili bila kumtaja mtu mzima GWALABET
 
Tafadharini sana kuweni makini sana na hiyo kampuni haswa kwenye swala la withdrawal,yaan Wana discourage kutoa ela mnoo,ila kudeposit inakubali safi tu,ukila sasa kutoa ela yako,ni vita ya Manara na Rushyna,pls usiseme hujaonywa
Screenshot_20230117-095643.jpg


Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Tafadharini sana kuweni makini sana na hiyo kampuni haswa kwenye swala la withdrawal,yaan Wana discourage kutoa ela mnoo,ila kudeposit inakubali safi tu,ukila sasa kutoa ela yako,ni vita ya Manara na Rushyna,pls usiseme hujaonywaView attachment 2484354

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Wasiliana na kitengo cha tigopesa wao watakwambia shida ni nini.
 
Hamtaki kufanya kazi mnawaza Mikeka tu ,wapumbavu siku zote hamuishi wacha mpigwe tu
 
Back
Top Bottom