Kuwa makini na hizi kampuni zifuatazo za kubeti maana ni matapeli

Kuwa makini na hizi kampuni zifuatazo za kubeti maana ni matapeli

Gal walinidhulumu laki moja yangu,nikafuta app yao
Sportpsa ndio kampuni ya uhakika,gwalabet pia wako vyema
Gwala bet mkuu ni wezi tu ka wezi wengine wa unga limited tofauti yao ni kuwa wao ni kampuni
 
Braza upande wa Meridian sina shaka nao hata kidgo nina mwaka wa kumi sasa nawatumia hawajawahi kuniletea ubabaifu hata siku moja na huwa deposit mpka 100K bila waswas wala longolongo
 
vijana wengi wamevamia hili wimbi jipya la kusaka maisha kwa njia ya kubeti, ni hatari sana. Serikali inabidi iingilie kati jambo hili kabla halijasambaa.
 
Mama galspot niliacha hela kwenye account yangu mwanangu siku naingia sikuti hata mia mbovu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bet
PigaBet ndio kubwa la matapeli. Wengine ambao wanakuwa na upumbavu ni mkeka bet, wakiona umekula sana wanakushusha kiwango chako Cha kubet.

Kidogo wanaojitahidi ni BetPawa, Hawa ndio naona hawana sana ujinga.
Bp ukibet online mtandao ukisumbua hata kapa ushaselect team na ndo unataka ku place bet unakuta team zote zmejifuta....hapa ndo waliponikera ikabid niwahame
 
Kampuni ya kubet ni moja tu sportpesa..sielewi kwann mtu ana hama hama kampuni!!

Siwezi kuweka pesa yangu kampuni za uchochoron kama ulizotaja hapo.

Narudia kampuni ya kubetia ni sportpesa tu ndo nayo tumia hakuna blah blah
 
Betway ndo kubwa lao!... KUBWA LA MAJAMBAZI!!

USIJESEMA SIKUKUONYA YAKIKUKUTA!
 
Back
Top Bottom