Kuwa makini na hizi kampuni zifuatazo za kubeti maana ni matapeli

Huu Uzi ni batili bila kumtaja mtu mzima GWALABET
 
Tafadharini sana kuweni makini sana na hiyo kampuni haswa kwenye swala la withdrawal,yaan Wana discourage kutoa ela mnoo,ila kudeposit inakubali safi tu,ukila sasa kutoa ela yako,ni vita ya Manara na Rushyna,pls usiseme hujaonywa

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Wasiliana na kitengo cha tigopesa wao watakwambia shida ni nini.
 
Hamtaki kufanya kazi mnawaza Mikeka tu ,wapumbavu siku zote hamuishi wacha mpigwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…