Kuwa mwanamke wa kisasa Tanzania ni changamoto sana katika mahusiano/ndoa

Hakuna kitu wanaume wanaogopa kama kushindwa na mwanamke katika maisha,kazi,pesa,elimu na kila kitu

No wonder kuna wanaume wanaamuq kuoa golikipa bora maisha yampige lakini awe na mnyonge wake nyumbani

Inferiority complex yasumbua wanaume
Wacha wee ,mmeamua kuishi maisha ya kushindana na wanaume unafikiri wanaume WA bongo hawajui wanajwaua sana wanawachora nyie mnatafsiri Wana inferiority ,wanaume WA bongo wanajiamini sana labda mzungumzie marioz au wale wavulana wenu wanaowapigia magoti eti can you marry me,real mens hababaishwi na mwanamke yoyote .
Real men wa bongo wanatafuta mwanamke atakaye mtii , kama nyie mnaojifanya sijui mna exposure,pesa,elimu,kazi
real men's hawababaiabwi na status ya mwanamke kama hana upendo na utii wao daima hutafuta wanawake watakao watii na kutimiza majukumu yake kama mke walio tayari kuishi maisha ya ndoa sasa nyie femanists hamtaki ndoa mnataka watoto tu hivyo mna fake kama mnataka kuolewa ili mpate watoto then mkipata watoto mnataka muendelee kuishi maisha ya usela , nyie watu wenu ni wahuni wenzeni,madanga yenu na wote wanaowasapoti na ushamba wenu waliokengeuka kama nyie ,kwa hiyo watoto wenu wa kike mnawaandaa waje kuishi maisha huru kama popo au sio?
 
It amplifies the inferiority complex ya wanaume wengi wa bongo. Wengi hawana exposure. Nawaonea huruma dada zetu.
Halina uhusiano wowote na exposure, customs, traditions plus tabia binafsi za wahusika. Kwenye exposure huko kuna akina LGBTQ kwamba waoane wao kwa wao and that shit is at the 'heart' of the 'real exposure'.
Kukiwa na love, respect & trust (I know that trust to many is unthinkable) the flow is always super smooth regardless nani ana kipato,elimu au madaraka zaidi.
Equal rights lazima ziende sawa na equal responsibilities.
 
Yaani watu wanataka kuwa na version ile ile ya wanawake wz mwaka 47 ili hali kila kitu kinabadika. Kama ilivyo mabadiliko ya kiteknolojia, tabia nchi etc ndio hivyo binadamu hubadilika.

Inabidi kuishi kutokana na haayo mabadiliko na kutafuta jinsi ya kuendana nayo. Otherwise, tutapata tabu sana
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Aisee kumbe ukitaka mwaka point ukiweka kwa chingereza inakuwa tamuuu kinoma🤣🤣🤣
 
Anayetakiwa kuaga au kutowa taarifa nyumbani ni mwanaume, mwanamke anapaswa kuomba kibali/ruhusa ingawa di jambo jema kumkatalia lakini utaratibu ni huo mwanamke anaomba ruhusa.

Kama upo na robot linakupa tu taarifa natoka na ndio anaondoka huyo basi hapo ujuwe umeyakanyaga tena usiombe awe na degree ya LLB umekwisha.
 
Mhm...interesting sasa badiliko inalobidi mkubali pia ndio hilo la wanaume kutotaka mabadiliko
 
Hapa Kwa kuongezea wanaume wengi hawajui wanatumika ili mwanamke apate cheti cha ndoa huko serikalini kuna package huwa zinawekwa sawa kwa familia nzima mume mke na watoto hasa likizo.
 
Tatizo mnawasakama sana wanawake wasomi, kutokuwa na heshima hakuhusiani na elimu ya mtu.
 
Wa kwako mruhusu avae nguo zilizombana na atoke bila ruhusa
 
Hapa Mnaingizana chaka, ndio maana kuna familia wanakatazwa kwenda kuposa kwenye nyumba ambayo haina Baba kuna tatizo bila kufichana.

Mimi last born wangu ni binti anajuwa nampenda sana tu, lakini akizunguwa nikimkata jicho tu anajuwa hapa hali ya hewa imechafuka, na nikiongea anajuwa hapa sasa hakuna mapenzi wala mzaha anaweza kuchezea mbata muda wowote.

Kwahiyo point yangu hapa mapenzi ya kwanza kwa mtoto wa kike anayapata kwa baba, na kutii na kuheshimu mwanamke pia anajifunza kwa baba, tangu mdogo anaiona tofauti ndani ya nyumba kwamba huyu ni mama na huyu ni baba ana mapenzi makubwa lakini hataki ujinga, hili litaamkaa hata atakapoolewa ananujuwa kiongozi wa nyumba ni mwanaume.

Haiwezekani Binadamu wazidiwe akili na wanyama, Simba jike mdio muwindani bread winner lakini akishawinda au majike yakishawinda Simba dume ndio wa kwanza kula baadaye ndio familia nzima inafuata.

Kazi kubwa ya Simba dume ni kulinda himaya.
 
Kwani unadhani waliolelewa na baba na mama ndio wana heshima? Kazi kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…