Unamaanisha zanani ulikuwa vzr kiuchumi ila sasahivi umefilisika?Yn kipindi tupo sawa utadhani nilkuwa na malaika, ila sasa hv utadhani amekuwa shetani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha zanani ulikuwa vzr kiuchumi ila sasahivi umefilisika?Yn kipindi tupo sawa utadhani nilkuwa na malaika, ila sasa hv utadhani amekuwa shetani
Kuna wanawake wanajeshi 40,000 katika jeshi la Ukraine, pia huwezi kumnyang'anya mtu uraia wake kwa sababu zozote zile, hata kwa makosa ya Ukraine, achilia mbali kutokwenda vitani.Ufahamu wako wa mambo ni ndogo sana nimeshakwambia kwenye Kila jambo.
Pamoja na hivyo, hoja inayojadiliwa hapa ni kwamba kwa vile wanawake hawako tayari kuhusika kwa namna yoyote ile na matokeo ya maamuzi ya wanaume yanayohusu mstakabali wa nchi kama vile vita n.k basi vile vile pia hawana sababu ya kushobokea au kutaka kunufaika na chochote chenye manufaa kinachotokana na maamuzi ya mwanaume, kwa mfano kama Sasa hivi ikitokea wanaume wa Ukraine wamaishinda vita dhidi ya warusi inayoendelea nchini kwao basi taifa la Ukraine litakuwa ni Mali ya wanaume na wanawake wote waliokimbia wakitaka kurudi watakuja kwa passport au kwa kuwaomba ruhusa wanaume wa Ukraine kwa sababu wanaume wa Ukraine ndio waliolipambania taifa lao mpaka amani ikarejea na wanawake hawakuhusika kwa namna yoyote....
Jifunze kwanza tofauti ya private na public listed company, fahamu pia Steve jobs aliwahi kutimuliwa katika kampuni ya Apple aliyoinzisha.Ufahamu wako wa mambo ni ndogo sana nimeshakwambia kwenye Kila jambo.
Ndio hayo makampuni yanamilikiwa kwa shares lakini wale largest shareholders ambao mara nyingi ni waanzilishi wa makampuni wao ndio wenye nguvu kimaamuzi na wanaweza kuamua wamuajiri nani na wamuache nani... Kwa mfano Elon Musk alivyoinunua Twitter alifukuza zaidi ya 55% ya wafanyakazi wote aliowakuta ambao aliona hawendani na sera mpya za kampuni hiyo,
Sikuwa vzr kiuchumi ila angalau msosi mara tatu na zaidi kwa siku ulikuwa uhakika ndani, ila sasa hv mambo yamekaa vibaya kwahy nae amebadilika.Unamaanisha zanani ulikuwa vzr kiuchumi ila sasahivi umefilisika?
Hamia dsm mikoani kuna washamba wengi sanaUkiwa Feminists ni shida,
Single mother ni shida,
Ukiomba pesa malalamiko
Ukimzidi mwanaume wako kipato kama yeye sio marioo tatizo.
Ukimzidi mwanaume elimu ni tatizo
Ukivaa nguo za kubana sio wife material
Ukitoka nyumbani unatakiwa kuomba ruhusa.
Ukichelewa kurudi nyumbani tatizo.
Surely hata kukudekeza atakudekeza Sana Na kukubembeleza he Will treat u like little daughterMost of women hawajui jinsi ya kuishi na wanaume, unapokuwa masculine na kutunishiana misuli na mwanaume wako hawez kukupenda na kukupa heshima kama mwanamke wake na huwez kamwe kum-control, atakuona kama mpinzani wake tuu(mwanaume mwenzake) but ukiwa feminine ndo utaweza kumwendesha kama utakavyo kwasababu he will lower his guard, mwanaume akipata amani nyumbani atafanya kila kitu aidumishe hio amani.
Why are you gee!!It amplifies the inferiority complex ya wanaume wengi wa bongo. Wengi hawana exposure. Nawaonea huruma dada zetu.
Vipi ulifanikiwa kumuita?😅Hebu ngoja nijaribu kumuita ilo jina leo pengine ikawa ndio pona yangu
Kabisaa aisee....Surely hata kukudekeza atakudekeza Sana Na kukubembeleza he Will treat u like little daughter
Woii! Meseji bado inasoma tick mojaVipi ulifanikiwa kumuita?😅
Designer yuko busy,anabuni mitindo😅😅😅Woii! Meseji bado inasoma tick moja
Ni mimi tu atakua ananifanyia hvo, ila kutakua na mwamba anajibiwa chapu kama treni ya umemeDesigner yuko busy,anabuni mitindo😅😅😅
Kuna manzi mmoja feminist tubapiga nae mishe sehemu yani ana inferiority kichiz afu kupigwa paipu hataki kutwa kushibdwa kwa pastor tony siku nkapptezeaga nkaja sikia analiwa mate na jamaa na jamaa mmoja hv karani afu jamaa wife wake katoka jifungua majuzi tu nkajua wanwakae wakisasa wananatatizo nilifabya maamuzi sahihi mda tuUkiwa Feminists ni shida,
Single mother ni shida,
Ukiomba pesa malalamiko
Ukimzidi mwanaume wako kipato kama yeye sio marioo tatizo.
Ukimzidi mwanaume elimu ni tatizo
Ukivaa nguo za kubana sio wife material
Ukitoka nyumbani unatakiwa kuomba ruhusa.
Ukichelewa kurudi nyumbani tatizo.
Sijaona muunganiko wa story yako kati ya ufeminist na hayo mambo mengine.Kuna manzi mmoja feminist tubapiga nae mishe sehemu yani ana inferiority kichiz afu kupigwa paipu hataki kutwa kushibdwa kwa pastor tony siku nkapptezeaga nkaja sikia analiwa mate na jamaa na jamaa mmoja hv karani afu jamaa wife wake katoka jifungua majuzi tu nkajua wanwakae wakisasa wananatatizo nilifabya maamuzi sahihi mda tu