Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Sio kweli,angalia wake za Vijana walivyochoka mwili na roho Hadi kuonekana wazee halafu kaangalie wake wa wazee walivyonawiri
Em kaolewe na lijibabu tena lijibabu la mjini lenye linajua hadi kitambaa cheupe wanafunga sa ngapi uone utamu wake.