Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Nimependa hapa... LAZIMA BANDIKO LIKAE KINIDHAMUSawa ,lakini kumbuka watu wana mbinu za kivita kwenye mishe zao hivyo usidhani ,haya niliyoyaandika na Mimi nayaishi yote,ila ni lazima bandiko likae kinidhamu
Narudia tena,fanya KAZI Kwa UAMINIFU
Wakati mwingine ni kubalance mambo tu kuna watu wanajali afya zao pamoja na balance diet lakini kutwa kucha kubadilisha hospitalwanaume wangekuwa wanajali afya zao makampuni ya pombe yangeshafungwa kitambo
Hapa tuko pamojaNimependa hapa... LAZIMA BANDIKO LIKAE KINIDHAMU
Tungekuwa tuna mawazo kama haya, kusingekuwa na vituo vya polisiwanaume wangekuwa wanajali afya zao makampuni ya pombe yangeshafungwa kitambo
Vituo vya polisi,Tungekuwa tuna mawazo kama haya, kusingekuwa na vituo vya polisi
Hata lile ghorofa pale kariakoo lilipobomoka, hakukuwa na yeyote wa 50/50 aliyeshika chepe. Wao ni vilio tu na kuhaha huku na hukoVituo vya polisi,
Magereza,
Mahakama,
Kumbi za starehe zote,
Wateja wengi ni wanaume.
Mwanaume ndiye mmiliki wa hii Dunia.
Raha zote na karaha zote ni za mwanaume.
Ila 50 kwa 50 hawezi kuelewa.
Kunywa kistaarabuwanaume wangekuwa wanajali afya zao makampuni ya pombe yangeshafungwa kitambo
Ndo kunywaje?Kunywa kistaarabu
Kama mpaka hapo hujaelewa nakushauri kaa mbali na pombeNdo kunywaje?
Sure ni muda wa wanaume kurudisha heshima yetu hata kinguvu,tangu lini mwanamke akafanana na mwanaumeHata lile ghorofa pale kariakoo lilipobomoka, hakukuwa na yeyote wa 50/50 aliyeshika chepe. Wao ni vilio tu na kuhaha huku na huko
Yes,na kumbuka ukishabomolewa ndiyo basi tena
mnataja hadi wainjilisti kwenye mambo ya hovyo laana hii mkuu😅
Watoto wa mjini wanasema kupasuliwa speaker.Yes,na kumbuka ukishabomolewa ndiyo basi tena
Daah hio 15 ngumu sana hiii.. kwasis bachelor14. Sitongoze tongoze hovyo
15. Usigonge demu wa mitaa unayoishi hata ajirahisishe vipi, utakuwa umenyea kambi
Haina ugumu wowote ukijiwekea misingi,japo kuna pisi huwezi kuruka unajikuta unaomba mkataba urekebishweDaah hio 15 ngumu sana hiii.. kwasis bachelor
12. Nakubali pia, tatizo wengi wao wanaleta hayo mazoea ya kijimga. Ila umeeleweka11. Fanya mazoezi ya mwili
12. Kaa mbali na wake za watu, usijenge mazoea ya hovyo.
Tuishi humo12. Nakubali pia, tatizo wengi wao wanaleta hayo mazoea ya kijimga. Ila umeeleweka