Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Chai usinywe ina madharaChai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chai usinywe ina madharaChai.
Spot on bro!!1.Epuka kukubali kuguswa na mtu ,iwe begani au wapi pindi mpo kwenye stori na vema wakajua kuwa huwa hupendi.
2.Epuka kukumbatiana na mwanaume mwenzio pindi mnasalimiana,hata kama mmemisiana muda mrefu.
Labda kama ni Baba mzazi au mwanao,japo huwa sioni ulazima.
3.Epuka kuwa mwepesi wa kukopa vitu vidogovidogo,kama hakuna ulazima ukiamua kukopa kopa mzigo wa kutosha.
4.Epuka kupigana bila sababu za msingi,na ikitokea huna namna usitishie,piga kweli muwahi opponent wako,kumbuka waweza kufa au kuumia vibaya ukiingia kichwakichwa.
5.Epuka kusuluhisha kuamlia ugomvi na ikitokea unalazimika, basi usioneshe upo upande wowote,shusha hasira za wahusika tu.
6.Iga vitu vizuri,ila visikupelekeshe fanya kwa mpango na umakini,
Umenunua simu fulani kisha unamuona Daniel ana simu fulani nzuri,unaanza kupaparika uwe na simu kama ya Dani, mwanaume hayupo hivyo.
7.Vaa,pendeza kuwa Casual,usiwe kama mwanamitindo ikiwa siyo pigo zako,nyoa nywele zako,ukipenda chana vizuri usinyoe stahili na mitindo ya vijana.
8.Sikiliza zaidi kuliko kuongea,utachorwa na kuonekana mshamba kuliko ,
Ukilazimika kuongea,wape nafasi wenzio siyo muda woooote usikilizwe wewe tu.
9.Kama una kichwa kibovu usioe,Usioe nakwambia, na kama ukioa Mpende mkeo. Usiruhusu agundue kuwa Una wivu sana.kuwa normal akitaka
Kut.....wa atagongwa hata sebuleni kwako na wewe upo chumbani.
Akileta dharau washa vibao Ila usimuumize kisha kesho mpe 200k akafanye shopping.
10.Piga kazi yeyote Kwa uaminifu,
UHURU ni kuwa na KAZI,
Panga malengo,
Timiza malengo.
Usikimbizane na walimwengu,
Kama wewe unatafuta milioni moja Kwa mwezi kuna wahuni wanatengeneza milioni Mia Kwa wiki hivyo usijione mnyonge.
Pambana tu
Uko sahihi, tunaweza kuleta ujanja ujanja kazini ujiharibia maisha mazima. Uaminifu ni kitu muhimu na ni rahisi kupewa michongo sababu unaaminika.Sawa ,lakini kumbuka watu wana mbinu za kivita kwenye mishe zao hivyo usidhani ,haya niliyoyaandika na Mimi nayaishi yote,ila ni lazima bandiko likae kinidhamu
Narudia tena,fanya KAZI Kwa UAMINIFU