Kuwa mwanaume si Kazi rahisi, zingatia haya kulinda UANAUME wako

KWELI
Tupambane #tafutahela, pesa sio kila kitu ila ni ya muhimu itakusaidia kuepuka mengi ukiwa kidume inapaswa upambane haswa, maana pesa yako inahitajika sana, wazazi wanaisubiri pesa yako iwatunze, mpenzi/mke anaitaka avae, asuke atoke out, mchungaji anaisubiri sadaka yako, serikali ndio sasa inaikodolea macho iikate kodi kama zote, huna ujanja cha muhimu pambana.
...
Tuepuke tamaa, hata amri ya 10 inasema usitamani, epuka mke wa mtu, ishi kulingana na kipato chako acha tamaa za ovyo kama mtoa uzi anavosema la sivyo utaishia kukopa/kuiba/kudhulumu ili uendane na tamaa zako.
 
Ukinyea kambi hama hapo la sivyo utafumaniwa, yatakukuta miksa kurogwa
Shida huyu wa kitaa nishamwelekeza, nilihama mitaa flani kwasababu ya usumbufu wa hawa viumbe, walikuwa wanakuja Kama mvua! Ikabidi nitelekeze Kambi yangu!! Saivi sikubali nitawakataa hata wakija wanatambaa
 
Mkuu hiyo ni sheria niliyojiwekea tangu nikiwa kijana mdogo. Demu wa mtaa ninaoishi namchukulia kama dada yangu.
Mimi wananichukulia kama kaka Ila mimi natamani kuwala wengine hadi wananisalimia shikamoo nakataa
 
Mwanaume usikubali kabisa kuendeshwa na Mwanamke..

Pia hata kama ni mpole jitahidi aujue upande wako wa pili ukoje (Mara nyingi huwa anashuhudia Hasira zangu zilivyo kwa watu wengine) anajifunza na kuogopa pia kufanya mambo ya kipumbavu.
 
Hapo kwenye kukopa kwakweli umenigusa, You Know! Mie sipend kukopa wala kudaiwa..😂
 
Mwanaume usikubali kabisa kuendeshwa na Mwanamke..

Pia hata kama ni mpole jitahidi aujue upande wako wa pili ukoje (Mara nyingi huwa anashuhudia Hasira zangu zilivyo kwa watu wengine) anajifunza na kuogopa pia kufanya mambo ya kipumbavu.
Mwanamke asikuamulie we ndie umuamulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…