Kuwa mwanaume si Kazi rahisi, zingatia haya kulinda UANAUME wako

Spot on bro!!
 
Sawa ,lakini kumbuka watu wana mbinu za kivita kwenye mishe zao hivyo usidhani ,haya niliyoyaandika na Mimi nayaishi yote,ila ni lazima bandiko likae kinidhamu

Narudia tena,fanya KAZI Kwa UAMINIFU
Uko sahihi, tunaweza kuleta ujanja ujanja kazini ujiharibia maisha mazima. Uaminifu ni kitu muhimu na ni rahisi kupewa michongo sababu unaaminika.
 
#?. Bros before ho's
Hawa mademu ni urithi wetu, kivyovyote vile usigombanie demu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…