Kuwa mwanaume wa Dar lazima uwe na pesa

Kuwa mwanaume wa Dar lazima uwe na pesa

Hellow africa

Acheni sifa ambazo wengi mnazibeza kuhusu wanaume wa dar japo nyingi ni za uongo msingekuwa mnatoka mkoani kuja kufwata penzi dar

Il uwe mwanaume wa dar must having money

Sifa za mwanaume wa dar

Kwaza tupo smart kuliko kawaida na wasafi sana yaani tunapiga pamba kali af kwa bei kali

Pili kichwani tuna akili sana yaani wengi tupo smart sana ki mental

Tatu tunajua kutafuta pesa na kutumia pesa pia

Wapole na tupo romantic sana ilo hakuna wakupinga

Mwisho kabisa ni watanashati sana that why watu wa mikoani mnataka kuolewa na wanaume wa dar
Hovyo
 
Mimi sio mchaga,,,,, Ila ukweli Dar imejengwa na wachaga
Ahahhaah kakudanganya nani acheni kujipa humuhimu dar imejengwa na wengi kila kabila lipo aca ukabila
 
Back
Top Bottom