Kuwa mwanaume wa Dar lazima uwe na pesa

Kuwa mwanaume wa Dar lazima uwe na pesa

Ndio ninyi mnajipitisha mahotelin nakuomba namba ovyo ovyo tu
Bora mwanaume wa Arusha anaomba namba kwa wanawake watasha anakuwa anatengeneza mazingira, kuliko nyie wabongo kazi kujipitisha kwenye mabaa na kugongea pombe kwa wanaume mwishowe mnaenda binuka.
 
Back
Top Bottom