Kuwa mwanaume wa Dar lazima uwe na pesa

Kuwa mwanaume wa Dar lazima uwe na pesa

Huu sasa ni uwongo wa wazi, unatakiwa ujue kuna wafugaji wa nywele na marasta kiimani. Wafugaji wa nywele na misuko ya kike kwa wanaume kitovu chake ni hapo unapo pasifia..
Arusha mnaongoza kwa rasi et mvutiee wazungu ili miwaoe acheni ubwege
 
Naomba nikubali hili kiukweli, wengi wao wanajua majukumu yao, sijui huwa ni mfumo wa maisha ya wadada wa huko yanawanyoosha,
Siye tushajizoelea huku you just pay your bills on your own, lakini nikiwa na wanangu wa Dar mpaka nauli ya Uber unakuta analipa yeye, wakati wewe ulishaandaa zako cash lakini hakubali ulipe..!!

Mbarikiwe wakaka wa daslama.!!
Labda show mbovu asipojitutumua kwenye bills penzi litazama matopeni
 
Ahhahah kama hujui ipo ivi wewe unakuja unataka tishet duka fulani umelikosa mimi nalijua duka ambalo zipo nakutajia bei 20000 unatoa naenda kukuchukulia napata 7000 nimekosa nini mtaji ni akili yako kaka
Na kwa kauli kama za kutaka hela bila kusumbua akili zimewafanya wengi wa wanaume wa Dar kushindana na dada zao.
 
Vipi kuhusu ninyi mnao vizia kutapeli watalii?
Na kwa kauli kama za kutaka hela bila kusumbua akili zimewafanya wengi wa wanaume wa Dar kushindana na dada zao.
 
Mwachiluwi mbona wanaume wa mikoani wana vigezo vyote ulivyoongelea?? halafu mnasema mikoani, mikoa ni mingi be specific.... huwezi linganisha arusha na songea
 
Kama si nduguyo hulipiwi bure.Kuna moja kati ya mawili.Ni aidha anakuvizia/anakuzubaisha akuibie/akutapeli au akutumie(kwa akili,mwili au kiuchumi) kwa faida yake.Kuwa makini.
None of the two,
Siyo mara moja wala siyo mara mbili na unachokisema hakijawahi tokea..!!
Enweiz, tusharudi zetu Makao Makuu tunakula zabibu..!!
 
Vipi kuhusu ninyi mnao vizia kutapeli watalii?
Unaelewa maana ya utalii na watalii kweli? Kama matukio ya utapeli yangekuwa yanajitokeza mara kwa mara, tusingeona Arusha na Tanzania watalii wanafurika kila siku.

Arusha ni salama kwa wageni na mgeni anajihisi yupo sehemu salama kabisa kutofautisha na mgeni akiwa Dar es salaam anamwona kila mtu ni mwizi na tapeli.
 
Utofauti wenu ni maswtea tu kule wanavaa masweta ya kijani ninyi mnavaa ya blue
 
Back
Top Bottom