Kuwa mwanaume wa Dar lazima uwe na pesa

Kuwa mwanaume wa Dar lazima uwe na pesa

Japo si wote ila kuna wanaume wa Dar wanatisha kwa matendo na mienendo yao.. Kutwa kushindana na dada zao kwa kutoga masikio, pua, kuweka vipini kwenye ulimi.. Yaani makao makuu ya uovu yapo.
Ilo nakataa mbona arusha wapo na wanavaa vikuku kwa kisingizio culter
 
Anavutiwa kasi.Atajishangaa kama siyo kufurahishwa.Mnajulikana kwa kupenda kutumia imani waliyonayo wageni wenu kuwapiga mishangazo.Halafu huwa hamkawii kuzima simu mkitafutwa ili msioneshe mnapoishi.
Zile meseji za tuma kwenye namba hii nyingi kama si zote zinatoka kwao. Kazi yao ni utapeli, kushinda kwenye saluni za kike wakiosha miguu ya wanawake na kushinda kwenye vituo vya kubet basi.
 
Sikia wewe kama una hasira na sisi kisa tulishakupigia manzi yako iyo kawaida

Sio wote wapo ibyo ujanja upo mjini kijijini upo ulofa kama huo mnata na yakutolea
 
Kuosha miguu ni kazi kaka na watu wamejenga kwa hiyo kazi kaka ulitaka watu wakabe?
 
Zile meseji za tuma kwenye namba hii nyingi kama si zote zinatoka kwao. Kazi yao ni utapeli, kushinda kwenye saluni za kike wakiosha miguu ya wanawake na kushinda kwenye vituo vya kubet basi.
Sahihi.Bila kusahau kushinda kwenye maduka wauzayo nguo na viatu(mavazi na vipodozi/marashi) kuuza sura na kufanya udalali wa bukubuku.Kwa saba kwenye maduka hayo hawalipwi kitu.Mwajiriwa anakuwa mmoja au wawili tu.Wengine wanajitolea utadhani watoto wapo field maofisini.
 
Sikia wewe kama una hasira na sisi kisa tulishakupigia manzi yako iyo kawaida

Sio wote wapo ibyo ujanja upo mjini kijijini upo ulofa kama huo mnata na yakutolea
Siwezi kuwa na hasira ila huwa mawachora na ninafahamu mbinu zenu za kuishi mjini.Ndiyo maana nikifika na hela nilizouza ng'ombe mamarioo wote lazima wale "biya" na nauli nawapa huku wananishangilia.Mimi nawachora tu.😜
 
Huna heal ya kutupa sisi bhna wewe acha zako
 
Unawaongelea wamasai na hiyo ni tamaduni.. Sitoshangaa hapo unaweza kuwa una shanga kiunoni na kichupi cha kamba kamba (utani tu).
Sio wamasai wachaga wa arusha wengi mmeharibiwaa na watalii wanaokuja uko mnajifanya mnafuga rasi wakat hamna kitu hapo
 
Back
Top Bottom