Kuwa mwanaume wa Dar lazima uwe na pesa

Kuwa mwanaume wa Dar lazima uwe na pesa

Siwezi kukaa vijiweni kusengenya au kubeti wakati kuna kazi za heshima mikoa mingine.Sura zenu huwa mnajitahidi ziwe na nuru kwa kujipaka mafuta ya nazi yanayobaki mikononi baada ya kula vitumbua au chapati magengeni.
Hahaha kumbe unajua kusemgenya kijana badirika sasa kwanini usengengenye na mwanaume
 
Sahihi.Bila kusahau kushinda kwenye maduka wauzayo nguo na viatu(mavazi na vipodozi/marashi) kuuza sura na kufanya udalali wa bukubuku.Kwa saba kwenye maduka hayo hawalipwi kitu.Mwajiriwa anakuwa mmoja au wawili tu.Wengine wanajitolea utadhani watoto wapo field maofisini.
Mgomo wa Kariakoo uliwanyoosha na uliwaumbua wale waliokuwa wanaenda kushinda kwenye maduka ya wafanyabiashara. Dar es salaam ina wazururaji wengi kuliko mikoa mingine. Mwanaume unakuta amevaa vizuri, anazurura kila kijiwe cha kahawa na ikifika usiku anaenda lala stendi au vibarazani japo si wote.
 
Ahhahah kama hujui ipo ivi wewe unakuja unataka tishet duka fulani umelikosa mimi nalijua duka ambalo zipo nakutajia bei 20000 unatoa naenda kukuchukulia napata 7000 nimekosa nini mtaji ni akili yako kaka
 
Mizigo ilipungua madukani mkachanganyikiwa.Si kwamba bei hazijulikani.Watu huwa hawapendi usumbufu na kuzurula juani kama mbuzi mtoro.Halafu,elfu saba kwa bingwa aliyefika Dar na mahela mengi ni kitu gani?Mnatakiwa nanyi muishi.Mkitupiga udalali,tunawapa na msosi mshibe halafu mnapewa na pombe mlewe msiwe na akili ya kuunda genge mtukabe na bisibisi.
 
Sio wamasai wachaga wa arusha wengi mmeharibiwaa na watalii wanaokuja uko mnajifanya mnafuga rasi wakat hamna kitu hapo
Huu sasa ni uwongo wa wazi, unatakiwa ujue kuna wafugaji wa nywele na marasta kiimani. Wafugaji wa nywele na misuko ya kike kwa wanaume kitovu chake ni hapo unapo pasifia..
 
Mizigo ilipungua madukani mkachanganyikiwa.Si kwamba bei hazijulikani.Watu huwa hawapendi usumbufu na kuzurula juani kama mbuzi mtoro.Halafu,elfu saba kwa bingwa aliyefika Dar na mahela mengi ni kitu gani?Mnatakiwa nanyi muishi.Mkitupiga udalali,tunawapa na msosi mshibe halafu mnapewa na pombe mlewe msiwe na akili ya kuunda genge mtukabe na bisibisi.
Hahahah vuta picha kwa siku nimepata wateja 10 na silipi kodi wala nini mtaji wangu akili tu
 
Back
Top Bottom