Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #81
Sasa mbona wanaume munawadangia wazunguUnaelewa maana ya utalii na watalii kweli? Kama matukio ya utapeli yangekuwa yanajitokeza mara kwa mara, tusingeona Arusha na Tanzania watalii wanafurika kila siku.
Arusha ni salama kwa wageni na mgeni anajihisi yupo sehemu salama kabisa kutofautisha na mgeni akiwa Dar es salaam anamwona kila mtu ni mwizi na tapeli.