Kama huna hela ya kufanya sherehe ni lazima kuifanya, Majizzo na pesa zake kafanya kitu simple kazi kwenu wananchi wanyonge.Babu tatizo ni umasikini ukisema ujitutumue peke yako siku ya sherehe utakuja kuwalisha watu ugali na samvu
Na zaidi ya hapo...wadada wa ista huwambii kitu..kuna jamaa angu nusu ya bajeti iliishia kwa MC ikabidi watu wachachamae 😂😂😂Hivi analipwa Mil4??
Kuna watu wana hela aiseee( Za kuchezea)
Bila shaka ni Mkristo sijui wakristo tunashida gani tubashindwa piga ndoa simple tu haya mashauzi kama huna ela acha tu ningekua muslim ni mkeka chapchapPledges za michango yote ni milioni 18, harusi ni mwezi huu wa tatu mwishoni, hadi muda huu watu wachache wametoa, cash iliyopo ni milioni moja kasoro. Bwana Harusi kachanganyikiwa kaniachia mipango yote nipange mimi, nafanyaje?
Bwana Harusi aliahidi kutoa milioni tano lakini katoa laki tano tu, nyingine hajatoa, anamtaka MC Garab wakati uwezo hana, yaani nikama ndugu wamemsusia, simu hawapokei, nimemshauri asifanye sherehe ni kama haelewi, sijui itakuwaje.
Hahahahaaa hawa ndo wanawaponza wenzao mpaka maMC wote wanataka kuwekewa kodi na TRA. Yaaani mtu anakuja mil4 usiku mmoja tu kwa kuongea ongea?Na zaidi ya hapo...wadada wa ista huwambii kitu..kuna jamaa angu nusu ya bajeti iliishia kwa MC ikabidi watu wachachamae 😂😂😂
Jamaa kajibrand sana...acha ale matundaHahahahaaa hawa ndo wanawaponza wenzao mpaka maMC wote wanataka kuwekewa kodi na TRA. Yaaani mtu anakuja mil4 usiku mmoja tu kwa kuongea ongea?
Hapo kama kapiga zake na send off za alhamis jumamos harusi akabahatisha na jumapili bas J3 anaamka ana mil 10+
Kama umewaalika ndugu wa karibu na marafiki wa karibu tu, utakuta ni kama birthday party tu iliyochangamka, watu 50-70, unatumia chini ya mil2-3 max, COZ sherehe yaweza kufanyika nyumbani, bila gharama za ukumbi, vinywaji bei ya jumla, mpishi muziki na maturubai kidogo na mpambaji. Mc mwanafamilia.Babu tatizo ni umasikini ukisema ujitutumue peke yako siku ya sherehe utakuja kuwalisha watu ugali na samvu
Wewe Gara b anachukua m4 ?Anamtaka mc garab [emoji23][emoji23][emoji23]...anaoa binti wa instagram au bwanaharusi naye ni walewale tu...yan kashindwa toa 5m anataka ampe mtu 4m kwa ajili yakupiga piga kelele masaa 3 sijui manne
Mimi namjua kiasi kwakua ni rafiki wa familia jamaa miaka ya 2010 alikua mwalimu tena kule Temeke secondary najua analipwa si chini ya m2 sasa hiyo m4 sijui.Hivi analipwa Mil4??
Kuna watu wana hela aiseee( Za kuchezea)
Mtose tuuPledges za michango yote ni milioni 18, harusi ni mwezi huu wa tatu mwishoni, hadi muda huu watu wachache wametoa, cash iliyopo ni milioni moja kasoro. Bwana Harusi kachanganyikiwa kaniachia mipango yote nipange mimi, nafanyaje?
Bwana Harusi aliahidi kutoa milioni tano lakini katoa laki tano tu, nyingine hajatoa, anamtaka MC Garab wakati uwezo hana, yaani ni kama ndugu wamemsusia, simu hawapokei, nimemshauri asifanye sherehe ni kama haelewi, sijui itakuwaje.
Habari ndio hiyoWewe Gara b anachukua m4 ?
Demand mzee...Mimi namjua kiasi kwakua ni rafiki wa familia jamaa miaka ya 2010 alikua mwalimu tena kule Temeke secondary najua analipwa si chini ya m2 sasa hiyo m4 sijui.
Kwa sasa hivi kweli pesa anayo, mke wake ana masters ila alimpiga marufuku asifanye kazi kamnunulia Bmw x3.
Kwani huyo mc garab ada yake ni million 4Anamtaka mc garab [emoji23][emoji23][emoji23]...anaoa binti wa instagram au bwanaharusi naye ni walewale tu...yan kashindwa toa 5m anataka ampe mtu 4m kwa ajili yakupiga piga kelele masaa 3 sijui manne