Kuwa Mwenyekiti wa kamati ya harusi ni kazi sana

Hivi kwani huwezi kufanya harusi pekee yenu bila michango?

Nauliza tu
Yawezekana, ile ya kuunganishwa kwenye ofisi za serikali husika.Mnalipia tu ile certificate mtakayopewa.
✌️
 
Pole sana mkuu. Wahenga walisema "Tenda wema kisha nenda zako"
 
Pole sana asee, tenda wema nenda zako! Sie binadamu bana
 
Hongera kwao!
 
Kwani kama mtu huna uwezo lazima ufanye sherehe? Kama kufanya muoaji ana laki 5 unadhani amejiandaa kuishi na mwanamke kweli? Washone vitenge wakafunge ndoa yao......hiyo hela ndogo waanzie maisha.....mambo ya kuforce kitu ambacho huna uwezo nacho ni ufala......maisha huwezi copy na kupaste........ndugu mwenyekiti asikusumbue kuoa siyo lazima sherehe.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…