Angalau huyo, she's responsible hana shida...yani nikiwa na mdada wa hivyo sioni shida.Anna:Best upo hom leo nkutembelee?
BK:Karibu mi nipo hom chukua boda atakuleta adi apa ni buku 2
Anna:Mi apa nna buku tu
BK:[kimoyomoyo]Qmme sa unakujaje na huna nauli?%##££@&&**<=> madem wengine bana
hata wanyumban kikiumana, utasikia tugawane mali..Nataka ukumbuke huyo wa job siku sintofahamu ikitokea safar mpaka mahakamani halafu utaleta story tumegawana Mali na mke wako na hutaleta kissa Cha kugawana Mali ni nini, kumbuka Mwanamke mtaftaji ni mwanaume mwenzako elewa hivyo
Kabisa mkuu, juzi kuna pisi moja nliiona imepostiwa na rafiki yake, nikaomba namba, tukabonga na yule dada fresh kuwa jumamosi tukutane(hapo ilikuwa juma5).Iwe chai au supu,
Unatongaze job seeker
Usitongaze mwanamke ambaye ukipanga nae date anakosa nauli au anataka umfuate alipo
daka pisi hyo ishi nayo ila husisahau kuleta mrejesho kwa yatakayo kutokea.Kabisa mkuu, juzi kuna pisi moja nliiona imepostiwa na rafiki yake, nikaomba namba, tukabonga na yule dada fresh kuwa jumamosi tukutane(hapo ilikuwa juma5).
Jmosi siku ya gemu ya wananchi vs TP Mazembe, sikuwa na time nae ,yeye ndio akanichek hello ,hello tunaweza onana nikasema ndiyo, kama vp njoo ntakurefund gharama zote ulizotumia, dada wawatu kaja kwa gharama zake mwenyewe hata bila kubisha , mind that hatujuan zaidi ya picha za dp kwa whatsapp.
Amekuja tumekesha kesha, night nikampa shuka la masai aka appreciate akasepa.
Pisi imenyooka sema kanizidi miaka 8
mkuu majukumu gan?, Ya kujimaliza kwa hawa matapeli au?Tafuta pesa, usikimbie majukumu
sasa jichanganyeNi wewe tu hujiamini. Wanawake hatuna baya kabisa.
Chief usikae ukaamini i love u ya mwanamke bro as long as kuna kitu anafaid kutoka kwakoKumbe hawa wanaotuomba hela wanatuenjoy tuu kwa i love u nyingi na wakati wanauza bupa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mmmmh! Hapana, hawa tunawakosea tangu nyumbani mwetu kwenye malezi.Biashara za watu ila zinanguvu maana wanaruhusiwa kufanya kampeni mpaka mashuleni na hawa ndio walio tuharibia jamii yetu ya sasa, watoto wengi wa kiume wa siku hizi hawa fikiri kama wanaume.
Mmmmh! Mbona Linapokuja suala la pesa, mnakuwa kidedea kutetea haki sawa?Hamna mwanaume anayetaka haki sawa ,hakuna NGO yoyote inayo push maswala ya haki za wanaume na hatuna time nayo.
Ipo.Huwezi kusikia eti kuna siku ya wanaume, kwanza sizani kama ipo.
Huoni kama ni raha jamani!! Pia ni kasiku ya kamtoko kwenda kuupa mwili pole🤣Ila siku yenu nyie maandalizi yanaanza mwezi mzima kabla ya siku yenyewe ,kwenye maredio,masocial networks,wanahojiwa viongozi wa NGO mbalimbali, strong independent woman, vikongozi wa kike nk,yaani msululu wa matukio kibao, siku yenyewe ndio ile list ya strong woman inapewa tuzo.
Aaaah! Mpaji Mungu alishasema huu mwaka nao uishe tu!!Shindikanaa mwaka huu naona utashindikana zaidi kuliko wakati wowote🤔🤔🤔
Hapana, sisi tuna huruma na ni wakarimu sana. Ni nyie tu mnatukosea.kwenye mapenzi hakuna huruma. especially ke. akishafanya maamuzi yake ni kama israeli mtoa roho anakua ni mkatil sanaaa.
Sisi hatuna baya kabisaaa.Mwee mane o tuu hayo ata kaenye khanga yapo....nyie tunawajua mlivyooo
Hapa sasa ni mwendo wa nipe nikupe raha tupate basi
Bro nishaimsaidia manzi ambae ni demu wa mwanangu sana 5k ya kulipia luku, akaenda kumponda jamaa ake kuwa huwez kunisaidia hela hadi rafk ako xxxx anisaidie, xxxx ni.mwanaume na nusu. Jamaa badae akaja niuliza juu ya hii ishu.Kuna mmoja kaniomba 30000 na hata sijamtongoza nimeshtuka hadi nikacheka[emoji23]
Shindikanaa mfungue shule tu😆😆Aaaah! Mpaji Mungu alishasema huu mwakanai uishe tu!!
Usiogope, hakuna mwanamke mwenye jeuri mbele ya MWANAUME. Tunawapenda sana.sasa jichanganye
Aaah shindikana ushanikumbusha machungu!! Hupendi kuniona nikiwa na raha kabisaa🙆♂️🙆♂️🙆♂️Shindikanaa mfungue shule tu😆😆
Shindikanaa niombeee huu mwaka nikusapoti hata zana kidogo😆Aaah shindikana ushanikumbusha machungu!! Hupendi kuniona nikiwa na raha kabisaa🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Haya ndio maneno sasa shindikana, naona unang'ata na kupulizia🤣🤣Shindikanaa niombeee huu mwaka nikusapoti hata zana kidogo😆
Hapana shindikanaa mwaka huu nimeacha bia nipo smart kusaidia mambo flani flani hiv😜😜Haya ndio maneno sasa shindikana, naona unang'ata na kupulizia🤣🤣