Kuwa na mahusiano na Wanawake wasio na pesa ni tabu sana

I would rather date a broke bitch.Hawa chicks wenye pesa wasumbufu sana.kwanza mapenzi yenyewe anakupimia,ukiomba apointment atakuambia ngoja aone ratiba zake.akati the broke one fasta asharukia boda.
 
Mkuu acha hawa viumbe wa ajabu, kuna mmoja aliangusha 20k, akaja inbox kanitext viemoji vya huzuni nikamuuliza nn shida akajibu naomba 20k nikamuuliza ya nn, akasema nimepoteza hela yangu, mi nikamuuliza kwani mimi ni mtu wako hadi uniombe helaa akasema jaman kukuomba hela hadi niwe mtu wako nikasema ndio mimi pia na mtu wangu namuhudumia nawewe akuhudumie anaekukula
 
Hapana shindikanaa mwaka huu nimeacha bia nipo smart kusaidia mambo flani flani hiv😜😜
Kwani shindikana unaumwa? Bia unamuachia nani sasa? Hebu kuwa serious na maisha bwana🀣
 
Kwani shindikana unaumwa? Bia unamuachia nani sasa? Hebu kuwa serious na maisha bwana🀣
Shindikanaa kiukweli nataka nifanye meditation kwa umakini zaidi ili niwe kwenye viwango vya juu ,bia nimeacha toka January 1 kwa usaidizi wa Kiranga nitakuja hapa January 2026 kutoa ushuhuda ikiwezekana , ila pombe na wanywa pombe nitawatetea daima.
 
Ujengewe mnara kΓ ma kweli uko hivyo. Ila trust me mwanamke anakutongoza ukimchekea kidogo tuu kesho shida zote anataka utatue.
 
Karibu sana Team Kataa Pombe.
 
Wewe ulipo mtongoza ulikua unataka nini kwake mkuu?
Kwasababu kama ulikua unamalengo naye ungemwambia nataka kukuoa halafu ungeona kama angeuliza tena hilo swali

Tatizo wanaume tusumbuliwa na mfumo dume

Mimi kwenye maisha yangu pengine nimetongoza mademu zaidi ya 500 lakini 99% nilikua nataka kumaliza nyege zangu

Mfumo dume umefanya wanawake kuwa chombo cha starehe..... unagonga gonga baada ya muda unaruka na mwingine
Sasa kuwavua chupi ni haki yako lakini wao nao wanachoona wanaweza kupata kwako ni hela pia halafu mnaanza kulia lia

Huyo mkeo tu nyumbani kama hana kazi unamnunulia na kuhudumia kila kitu ila ukiombwa na demu unayeta kutolea nyege unalialia

Starehe gharama mkuu
Ukitaka demu wa kustarehe utagharamika tu haswa kwenye maisha yetu ya kimasikini ambayo wanawake tumewazilisha na kuwatelekeza na hawana kaZi za maana kujikimu
Ukienda na nyege zako toa hela..... PERIOD
Mtoto wa kiume unaliaje kuombwa hela? Kapige punyeto huko
 
Haha, kwa hiyo job seekers wao hawastahili mitongozo hadi wakae sawa kiuchumi!

Ila bwana, unapanga date mtoto anakuambia umtumie nauli, its a turn off!
Wanazingua sana,
 
Hakuwa na sababu hata ya kumwambia maana ingeweza kuleta shida kwenye urafiki wenu
Mara ya pili ulifanya sawa kumkataa
 
Acha uchoyooo.
Mimi ni mtoaji Sanaa na Nina huo mkono ilaa..na allergies na wanawake omba omba/ huwa na chuki nao sababu kipindi najitafuta niliachwa na mwanamke nilie tamani kumuona siku zoteee za Maisha yangu akaenda kwa wenye pesa..sikuwai nunua shati,nguo chochote nilimfikilia yeye kwanza na hakuyaona yotee

Una jua Nini mwanamke mnaonana Mara nywele zimefumuka,gesi imeisha, Kodi imeisha, luku imeishaa, hapo hapo mtumie pesa ya kula πŸ˜‚πŸ˜… Mimi ni jeuri yaan pesa ninayo na unajua ninazo sikupi pia sijawai na sitowai KUHUDUMIA mwanamke omba omba..na pesa ninayo sikupi
 
Aliomba umkope au umpe kama grant
Wapo wanao rudishaa kabisaa mmoja last year mwanzoni nilimpa 500k atanirejeshea..

Nikamwambia siku ukiwa powa utanirejeshea from January to December sina hili Wala lile Dr am 4 real PhD
Niweke kwenye account au kwenye simu nikajibu popotee.. ikathibitishwa duu sikutarajia Kama ningerejeshewa Ile pesaaa

Mimi slogan yangu ni kama ya YESU KRISTO mkopeshe mtu bila kutazamia kulipwa

All in all,
Kuna wanawake/ mpenzi wa kike mnakopeshana na kulipanaa.
 
Ni watoto wenzako ndio wanao kuelewa zaidi mkuu

Wewe unapo mtongoza demu huwa unataka nini haswa
Kwa mimi nataka tuwe pamoja kimapenzi na tabia ikiwa nzuri ni muoe awe mke wangu tuanzishe familia pamoja.
 
kwahyo zigo la misumari anabebeshwa nice guy sio?
Mwanamke akikupenda hata akiolewa namba yako haifuti anakua nayo ata sada zake kama walikua wanakujua na walikua wanakukubali namba zako hawazifuti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…