Kuwa na mahusiano na Wanawake wasio na pesa ni tabu sana

Uko sahihi dada... mwanamke akikupenda haomboi hela
 
Mkuu ni vizur kulipia huduma kuligana ubora ni sawa ukodi Bajaji kwa siku dereva akawambie ulipie laki mbili sasa wewe utakubali si bora ukakodi Alphad kwa siku elf hamsini
 
Basi kila la kheri shindikana, umefanya uamuzi wa maana kabisa. Bado ule mmoja🤪
 
Sasa huyo mmoja ndio asababishe uwe kachoyo hivyo!! Uchoyo hata haukupendezi.

Halafu ukute hakukuacha sababu ya kutokuwa na pesa, ila wewe umemhukumu kwakuwa haukuwa na pesa!!
 
Uko sahihi dada... mwanamke akikupenda haomboi hela
Wanaomba sema hawaombi direct wanazunguka umbali mkubwa yani mpaka uwe na akili ya nyingi ndiyo utagundua kwamba mpenzi wangu ana shida.
 
Wanaomba sema hawaombi direct wanazunguka umbali mkubwa yani mpaka uwe na akili ya nyingi ndiyo utagundua kwamba mpenzi wangu ana shida.
Ladies are smart in relationship.
 
leta ushuhuda mkuu. Baada ya hapo nini kilitokea? Ulikusanya vilago vyako au uliweka kambi?
Baadhi ya wanawake wajinga mtoto wa dada yake alikua ana umwa sasa waka mpeleka hospita sasa pesa za matibabu nashangaa ananiambia Mimi nilipe eti wanadaiwa hospitali naomba pesa nikalipe, Sasa Mimi nikashangaa inakuaje mtoto ana umwa kwanini pesa za Matibabu asiambiwe Baba mzazi wa mtoto yeye wanamuacha naambiwa Mimi.
 
I would rather date a broke bitch.Hawa chicks wenye pesa wasumbufu sana.kwanza mapenzi yenyewe anakupimia,ukiomba apointment atakuambia ngoja aone ratiba zake.akati the broke one fasta asharukia boda.
Haahaa wew unachanganya mambo. We inaelekea unachotaka ni ngono (🍆👌) sio mapenzi (💓), ivo ni vitu viwili tofauti.
 
The Garang Braza Kede halafu kingine nlichogundua kwa hawa wadada wanao omba omba hela kwa wanaume, wengi wao wana tabia hii, sometimes ni heri wakunyime papuchi, utakuta huyo mdada hata akiwa na million 2 ambayo hana kazi nayo, hawezi hata kuwaza kukununulia juisi ya shilling elf 1 akuletee, hata ukimuomba akununulie kitu flani kidogo atakunyima. Au akikupa anakupa kwa target kwamba baada ya week 2 atakupiga mizinga hela yake irudi, au atakupa akihesabu kuwa hiyo ni sehemu ya hela yako ambayo umeshawahi kumpa, yani zawadi yake inakua haitoki moyoni

Wanaume wengi wanaotaka kuoa employed women wasaidiane maisha, wanaishia kua disappointed hawajui hela za wake zao zinaenda wapi,

Sometimes mdada ambae ni broke & jobless anaweza kuwa na support kubwa kwa mwanaume kuliko mdada alieajiriwa mwenye mshahara mnono.
 
I would rather date a broke bitch.Hawa chicks wenye pesa wasumbufu sana.kwanza mapenzi yenyewe anakupimia,ukiomba apointment atakuambia ngoja aone ratiba zake.akati the broke one fasta asharukia boda.
Yeah wale broke hawakatai coz ni njia yao kuingiza pesa kidogo.

Sema binafsi naona pay-after-service haiumizi mtu, mambo ya "babe nikuambie kitu..." kwa karne hii ni ushamba sana!!
 
Shida iko kwako wewe mtafutaji.
Why utafute wenye njaa?

We unajiweka kwa demu hana kazi ila ana mkopo wa OYA, BLANC, ASA, VIKOBA.
Unategemea nini?
 
Njoo tuwinde mishangazi ya kigeni huku unguja kwq kuvaa mashuka ya kimasai
 
Tafuta mshangazi mmoja wa uhakika, wala hutaombwa pesa ila wewe utapewa pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…