Mimi ni mtoaji Sanaa na Nina huo mkono ilaa..na allergies na wanawake omba omba/ huwa na chuki nao sababu kipindi najitafuta niliachwa na mwanamke nilie tamani kumuona siku zoteee za Maisha yangu akaenda kwa wenye pesa..sikuwai nunua shati,nguo chochote nilimfikilia yeye kwanza na hakuyaona yotee
Una jua Nini mwanamke mnaonana Mara nywele zimefumuka,gesi imeisha, Kodi imeisha, luku imeishaa, hapo hapo mtumie pesa ya kula 😂😅 Mimi ni jeuri yaan pesa ninayo na unajua ninazo sikupi pia sijawai na sitowai KUHUDUMIA mwanamke omba omba..na pesa ninayo sikupi