Kuwa na mahusiano na Wanawake wasio na pesa ni tabu sana

[emoji419][emoji419][emoji419][emoji375]
 
Siku zote nyota njema uonekana alfajiri, demu mpuuzi (mgogo) akianza tu mambo ya kuomba pesa kijinga ni wa kumtupa chini mara moja no matter ana uzuri gani. Mwache akajiuze tu kwa Wanigeria abebeshwe miunga.
 
Mimi nataka Mke wangu anitreat Kifalme kama anavyofanya cheupe wangu huyu. Yanitosha!
 
Kwa kweli ni kujitafutia matatizo kudate wanawake kama hawa....unakuta mtu anaamka asubuhi anaanza kukuomba hela ya vocha, matumizi ya wazazi na ndugu zake, wakati wala si mkeo na hana faida kwako zaidi ya kutombwa tu. Wapuuzi sana hawa mademu.
 
Madada wa mjini Bongo
 
suala la hela kusaidiana kwenye mapenzi ni jambo la kawaida kwa wapenda nao kama mpenzi wako anashida kubwa za pesa na hajui wapi pa kuanzia ni vyema kuangalia namna ya kumsaidia ili asikuombe hii ndio maana ya mapenzi.

mimi nipo tofauti sana kimtazamo kuhusu pesa yani mpaka naweza kumsaidia mtu yoyote yule pesa hata ambaye simjui sio rafiki yangu wala sio mpenzi na namsaidia bila hata yeye kuniomba unajua kuna baadhi ya shida zinaonekana bila hata mtu kukueleza au kukuomba basi mimi nasaidia watu h
 
huwa mnaanza iviivi bdae sasa ndo mnachanganya adi mtu anaishia kuona kila rangi.

yani ukiwa na hitaji la ela hajiulizi mara 2 inainuliwa simu tu utafikiri we ndo mo dewji.

mara utaskia gesi imeisha mara michango ya watoto shuleni yaani na apo ukute wala hamjaoana.

bado atalalamika kufikishwa kileleni.

daah kuna wanawake sio aisee 🙌🙌🙌
 
Hili tangazo limekaa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…