Kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu anayekuzidi umri sana ni hatari

Binafsi napenda mwanaume anizidi umri but not more than 10 years
Pia asiwe na umri mdogo kuliko mimi au asiwe sawa na mimi.
Kibaiolojia mwanamke anawahi kukua kuliko mwanaume.

Lakini huwa wanasema umri ni namba tu!
Kinachomata ni upendo na maelewano.
Wanakusikia watakuja mda so mrefu
 
Sababu mwanamke anazeeka mapema, menopause anafika akiwa na 45, imagine kijana wa miaka 30 anaoa mwanamke wa miaka 45 ambaye hajazaa na lengo la ndoa ni kujenga familia.

Familia itajengwa kwa couple hiyo kweli?
Familia ni nini?
 
Kuwa katika mahusiano na mwanaume mtu mzima na tajiri ni hatari sana, kwa sababu hiyo ina maana unaweza kuwa na madaraka kidogo juu ya mahusiano. Kwa kukosekana kwa usawa wa madaraka, unaweza ukakosa kuwa na udhibiti wa kufanya maamuzi yako mwenyewe. Mahusiano, katika hali yake ya ubora, ni kuwa na usawa na kuheshimiana.

Katika karne hii ya 21 ya utandawazi wa kiuchumi mawasiliano,miundo mbinu imekua kawaida sana kwa Dada zetu kujali maslahi has a kwenye suala la mahusiano

Hapo namaanisha wasichana wengi kwa karne hii wanapenda wawe katika mahusiano na wanaume wenye uwezo wa kifedha kwasababu ya kutaka kutimiza majukumu yao ya kujikimu

Enzi za babu zetu wasichana walikua wakichagua nani wa kwanza nae maisha na kutafita wsnacho kipata lahashaa hawakua wajinga au mbumbumbu Bali walijielewa kwasababu iliwafanya wawe na sauti na kuheshimiwa katika maamuzi aijajua sababu ilikua ni kabla ya utandawazi au; likua ni tamaduni

Leo hii wasichana hutamani kua katika mahusiano na MTU ambae amejitosheleza kila kitu so dhambi wala kosa Bali hawato weza kuwa na sauti yeyote kwenye Mali alizozikuta na kuhisi ana nyanyaswa na hvyo kupelekea mahusiano meng kuvunjika na ndiko tunakoipata kauli ya "WANAUME WOTE NI MBWA"[emoji23]. Ndio madada zetu wamezoea kutuita hvyo yakiwazidia

Kwenye maisha ya ndoa jamani kikubwa kupata MTU mnae sikilizana mambo yote yatakua mepesi kwenu.kumtanguliza mungu kutawafanya muwe na furaha ya milele ndicho nnachomuomba mungu kila siku na naamini mkewangu mama wa familia Yangu ayatoka humuhumu JF naamini katika hilo.
bado naendelea kusisitiza natafuta mke maana mungu amenionesha yupo humu JF ajitokeze mapema ili watoto wasichelewe kuanza shule[emoji23][emoji23]

Haya ni mawazo Yangu naomba kuwasilisha..
mkuu una miaka mingap kwanza, tuanzie hapo!

unaposema "enzi za babu zetu wanawake walikua na sauti" sijui unazungumzia enzi zipi, au unaongelea utawala wa Mkapa ndio enzi kwako![emoji23][emoji23][emoji23]

yani mwanamke wa 90 kurudi nyuma awe na sauti kwenye familia? jamii hizi za kitanzania? acha utani aiseee
 
kwa mawazo haya labda uongee na Miss Natafuta![emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
 
mkuu una miaka mingap kwanza, tuanzie hapo!

unaposema "enzi za babu zetu wanawake walikua na sauti" sijui unazungumzia enzi zipi, au unaongelea utawala wa Mkapa ndio enzi kwako![emoji23][emoji23][emoji23]

yani mwanamke wa 90 kurudi nyuma awe na sauti kwenye familia? jamii hizi za kitanzania? acha utani aiseee
Kwahyo unataka kusema wanawake wa miaka ya 90 hawakua na sauti sasa walikua wanaongeaje😂😂😂😂😂
 
Binafsi napenda mwanaume anizidi umri but not more than 10 years
Pia asiwe na umri mdogo kuliko mimi au asiwe sawa na mimi.
Kibaiolojia mwanamke anawahi kukua kuliko mwanaume.

Lakini huwa wanasema umri ni namba tu!
Kinachomata ni upendo na maelewano.
1.matunzo
2.matunzo
3.matunzo.............

aiseee mwanamke akipewa matunzo hawezi kuzeeka haraka kama wengi wanavyosema!

ila kama mme umepata gumegume hata kama umeolewa na miaka 22 ndani ya miaka 3-5 utakua kibibi wa 40yrs[emoji23]

muhimu ni kuomba Mungu upate mwenza anaejielewa bila kujali umri
 
Kwahyo unataka kusema wanawake wa miaka ya 90 hawakua na sauti sasa walikua wanaongeaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahhahahahhaaaaaa ilikua ubabe ubabe mkuu mambo ya sijui mwanamke kusikilizwa au kuheshimiwa hayakuwepo kabisa!

demokrasia kwenye ndoa imeanza miaka ya 90's na kushamiri miaka hii ya 2000 na kuendelea!.......

btw, demokrasia usipokua makini inaua ndoa![emoji3]
 
Ila me nayakubali sana hayo maisha ya ndoa za miaka hiyo ya 90 kurudi nyuma maana hii demokrasia na sijui hakisawa,sijui hamsini kwa hamsini naona yanaleta dharau mnoo kama vipi turudi back tuishi hvyo maisha yataenda tu na wanawake mtambue mlikuja kumsaidia mwanaume na sio kumfanya ATM machine😂😂😂
 
1.matunzo
2.matunzo
3.matunzo.............

aiseee mwanamke akipewa matunzo hawezi kuzeeka haraka kama wengi wanavyosema!

ila kama mme umepata gumegume hata kama umeolewa na miaka 22 ndani ya miaka 3-5 utakua kibibi wa 40yrs[emoji23]

muhimu ni kuomba Mungu upate mwenza anaejielewa bila kujali umri
Eebhana hyo ndo uamuzi wa busara kabisa
 
1.matunzo
2.matunzo
3.matunzo.............

aiseee mwanamke akipewa matunzo hawezi kuzeeka haraka kama wengi wanavyosema!

ila kama mme umepata gumegume hata kama umeolewa na miaka 22 ndani ya miaka 3-5 utakua kibibi wa 40yrs[emoji23]

muhimu ni kuomba Mungu upate mwenza anaejielewa bila kujali umri
Kumbuka mwanamke anawahi kukua
Hata katika balehe anatangulia mtoto wa wa kike.
Hoja yangu iko hapo.
 
Back
Top Bottom