Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Watu na mipeisa yeinyu lol ...uzidishiwe sanaaaa
Hahaha... Ila pesa ndiyo kila kitu...
Hahaha... Ila pesa ndiyo kila kitu...
Hapa kwenye kipindi cha seminars and presentations nakupa sifuri maana mpaka umemaluzia hitimisho haijulikani unasimamia wapi..Binafsi napenda mwanaume anizidi umri but not more than 10 years
Pia asiwe na umri mdogo kuliko mimi au asiwe sawa na mimi.
Kibaiolojia mwanamke anawahi kukua kuliko mwanaume.
Lakini huwa wanasema umri ni namba tu!
Kinachomata ni upendo na maelewano.
Kama hujaona ninaposimamia basi tatizo utakuwa wewe [emoji4]Hapa kwenye kipindi cha seminars and presentations nakupa sifuri maana mpaka umemaluzia hitimisho haijulikani unasimamia wapi..
Ni kweli the only difference ni Kwamba kwa sasa hao hao mabinti wadogo wanajipeleka wenyewe kwa wazee wenye fwedhaaa....nachoona zamani mabinti wengi waliolewa na wazee au watu waliowazidi umri kuliko hata sasa hivi na pia walikuwa wana maamuzi madogo sana kuhusu ndoa zao.
Halafu kaporomosha nyuzi huyo hatari [emoji23]imebidi nichungulie, kumbe jamaa mwenyewe kajiunga jana tu humu[emoji23][emoji23][emoji23]
Alishasema anatafuta mchumba wa kusaidiana naye majukumu[emoji1787][emoji1787]Ukimaliza porojo katafute hela.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alishasema anatafuta mchumba wa kusaidiana naye majukumu[emoji1787][emoji1787]
Wenzie walimwambia Kama pekeyako tu maisha ni magumu amini ukioa yatakuwa magumu zaidi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kweli the only difference ni Kwamba kwa sasa hao hao mabinti wadogo wanajipeleka wenyewe kwa wazee wenye fwedhaaa....
HahahahahahaKuna jamaa apa ananinong'oneza eti
"Hicho kitakua Ni kikao Cha WAJUMBE"[emoji38]
Pia hivyo hvyo hakuna mwanaume anaependa shidaWenzie walimwambia Kama pekeyako tu maisha ni magumu amini ukioa yatakuwa magumu zaidi.
Akasema hapana..tutasaidiana.
Wakimwambia wanawake wanataka hela,tafuta kwanza hela,akasema wapo wasiopenda hela..eti wapo wanaopenda kuanza pamoja.
Kiukweli hakuna mwanamke anayependa shida.
Muda mwingine kuna kuteseka pia hilo lazima uliweke akiliniJapo maisha siyo kutesa kila siku. ....lol uleeee msemo wako bebeake teh [emoji12][emoji12]
Usije sema kabila "angukukoma "[emoji23][emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo kigezo si umri tu!
Nimeongelea umri kwa sababu mada imelenga umri
Cha muhimu helaUsije sema kabila "angukukoma "[emoji23][emoji23].
Usije sema mkwanja pia. Utanibagua pia.[emoji23][emoji23][emoji23].
Na ubaguzi sipendi kwa kweli...
Tunafukunyuana mkuu ( NI mpenzi wangu)Umeoa,
Umeolewa,
Mmeoana?.
Wala sio hatari, mtu aliyekuzidi umri mkiwa kwenye mahusiano na yeye anageuka kuwa na akili kama mtotoKuwa katika mahusiano na mwanaume mtu mzima na tajiri ni hatari sana, kwa sababu hiyo ina maana unaweza kuwa na madaraka kidogo juu ya mahusiano. Kwa kukosekana kwa usawa wa madaraka, unaweza ukakosa kuwa na udhibiti wa kufanya maamuzi yako mwenyewe. Mahusiano, katika hali yake ya ubora, ni kuwa na usawa na kuheshimiana.
Katika karne hii ya 21 ya utandawazi wa kiuchumi mawasiliano,miundo mbinu imekua kawaida sana kwa Dada zetu kujali maslahi has a kwenye suala la mahusiano
Hapo namaanisha wasichana wengi kwa karne hii wanapenda wawe katika mahusiano na wanaume wenye uwezo wa kifedha kwasababu ya kutaka kutimiza majukumu yao ya kujikimu
Enzi za babu zetu wasichana walikua wakichagua nani wa kwanza nae maisha na kutafita wsnacho kipata lahashaa hawakua wajinga au mbumbumbu Bali walijielewa kwasababu iliwafanya wawe na sauti na kuheshimiwa katika maamuzi aijajua sababu ilikua ni kabla ya utandawazi au; likua ni tamaduni
Leo hii wasichana hutamani kua katika mahusiano na MTU ambae amejitosheleza kila kitu so dhambi wala kosa Bali hawato weza kuwa na sauti yeyote kwenye Mali alizozikuta na kuhisi ana nyanyaswa na hvyo kupelekea mahusiano meng kuvunjika na ndiko tunakoipata kauli ya "WANAUME WOTE NI MBWA"[emoji23]. Ndio madada zetu wamezoea kutuita hvyo yakiwazidia
Kwenye maisha ya ndoa jamani kikubwa kupata MTU mnae sikilizana mambo yote yatakua mepesi kwenu.kumtanguliza mungu kutawafanya muwe na furaha ya milele ndicho nnachomuomba mungu kila siku na naamini mkewangu mama wa familia Yangu ayatoka humuhumu JF naamini katika hilo.
bado naendelea kusisitiza natafuta mke maana mungu amenionesha yupo humu JF ajitokeze mapema ili watoto wasichelewe kuanza shule[emoji23][emoji23]
Haya ni mawazo Yangu naomba kuwasilisha..