waterproof
JF-Expert Member
- Aug 14, 2020
- 388
- 352
- Thread starter
- #41
Me ndo nimeelewa hvyo😂😂 may be laba swali linataka kujumlisha me najifanya fundii wa mathe nagawanya😂😂[emoji848]kuoa anaekuzidi tena?
Me ndo nimeelewa hvyo😂😂 may be laba swali linataka kujumlisha me najifanya fundii wa mathe nagawanya😂😂[emoji848]kuoa anaekuzidi tena?
Na huwwzi kuta watu wrote wakakubali jambo huwa ni ngumu kuwah tokea na upinzani upo kila sehemHuo ni mtazamo binafsi mkuu
Zipi hizo, Ebu tupe sifa zetu mkuu[emoji16]Wanaume wakubwa wana raha yake sanaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo mtoa mada unatafuta mke
Ooh, nipeleke basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna uzi wake mwingine anaotafuta mke
Hilo ni jibu sahihi mkuu hujakoseaKwa hiyo mtoa mada unatafuta mke
Sawa tutatuma maombiHilo ni jibu sahihi mkuu hujakosea
Zipi hizo, Ebu tupe sifa zetu mkuu[emoji16]
Kuna jamaa apa ananinong'oneza etiAkiwa mama na baba bila mtoto,hiyo sio familia?
Nan kakudanganya binadamu ni sawaKwanini kwa ke akiwa mkubwa ni tatizo na kwa me so tatizo huku tukisema binadamu wrote ni sawa?
imebidi nichungulie, kumbe jamaa mwenyewe kajiunga jana tu humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna uzi wake mwingine anaotafuta mke
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Japo maisha siyo kutesa kila siku. ....lol uleeee msemo wako bebeake teh [emoji12][emoji12]