waterproof
JF-Expert Member
- Aug 14, 2020
- 388
- 352
- Thread starter
-
- #21
Wanakusikia watakuja mda so mrefuBinafsi napenda mwanaume anizidi umri but not more than 10 years
Pia asiwe na umri mdogo kuliko mimi au asiwe sawa na mimi.
Kibaiolojia mwanamke anawahi kukua kuliko mwanaume.
Lakini huwa wanasema umri ni namba tu!
Kinachomata ni upendo na maelewano.
Familia ni nini?Sababu mwanamke anazeeka mapema, menopause anafika akiwa na 45, imagine kijana wa miaka 30 anaoa mwanamke wa miaka 45 ambaye hajazaa na lengo la ndoa ni kujenga familia.
Familia itajengwa kwa couple hiyo kweli?
mkuu una miaka mingap kwanza, tuanzie hapo!Kuwa katika mahusiano na mwanaume mtu mzima na tajiri ni hatari sana, kwa sababu hiyo ina maana unaweza kuwa na madaraka kidogo juu ya mahusiano. Kwa kukosekana kwa usawa wa madaraka, unaweza ukakosa kuwa na udhibiti wa kufanya maamuzi yako mwenyewe. Mahusiano, katika hali yake ya ubora, ni kuwa na usawa na kuheshimiana.
Katika karne hii ya 21 ya utandawazi wa kiuchumi mawasiliano,miundo mbinu imekua kawaida sana kwa Dada zetu kujali maslahi has a kwenye suala la mahusiano
Hapo namaanisha wasichana wengi kwa karne hii wanapenda wawe katika mahusiano na wanaume wenye uwezo wa kifedha kwasababu ya kutaka kutimiza majukumu yao ya kujikimu
Enzi za babu zetu wasichana walikua wakichagua nani wa kwanza nae maisha na kutafita wsnacho kipata lahashaa hawakua wajinga au mbumbumbu Bali walijielewa kwasababu iliwafanya wawe na sauti na kuheshimiwa katika maamuzi aijajua sababu ilikua ni kabla ya utandawazi au; likua ni tamaduni
Leo hii wasichana hutamani kua katika mahusiano na MTU ambae amejitosheleza kila kitu so dhambi wala kosa Bali hawato weza kuwa na sauti yeyote kwenye Mali alizozikuta na kuhisi ana nyanyaswa na hvyo kupelekea mahusiano meng kuvunjika na ndiko tunakoipata kauli ya "WANAUME WOTE NI MBWA"[emoji23]. Ndio madada zetu wamezoea kutuita hvyo yakiwazidia
Kwenye maisha ya ndoa jamani kikubwa kupata MTU mnae sikilizana mambo yote yatakua mepesi kwenu.kumtanguliza mungu kutawafanya muwe na furaha ya milele ndicho nnachomuomba mungu kila siku na naamini mkewangu mama wa familia Yangu ayatoka humuhumu JF naamini katika hilo.
bado naendelea kusisitiza natafuta mke maana mungu amenionesha yupo humu JF ajitokeze mapema ili watoto wasichelewe kuanza shule[emoji23][emoji23]
Haya ni mawazo Yangu naomba kuwasilisha..
Familia ni baba mama na watotoFamilia ni nini?
kwa mawazo haya labda uongee na Miss Natafuta![emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]Kuwa katika mahusiano na mwanaume mtu mzima na tajiri ni hatari sana, kwa sababu hiyo ina maana unaweza kuwa na madaraka kidogo juu ya mahusiano. Kwa kukosekana kwa usawa wa madaraka, unaweza ukakosa kuwa na udhibiti wa kufanya maamuzi yako mwenyewe. Mahusiano, katika hali yake ya ubora, ni kuwa na usawa na kuheshimiana.
Katika karne hii ya 21 ya utandawazi wa kiuchumi mawasiliano,miundo mbinu imekua kawaida sana kwa Dada zetu kujali maslahi has a kwenye suala la mahusiano
Hapo namaanisha wasichana wengi kwa karne hii wanapenda wawe katika mahusiano na wanaume wenye uwezo wa kifedha kwasababu ya kutaka kutimiza majukumu yao ya kujikimu
Enzi za babu zetu wasichana walikua wakichagua nani wa kwanza nae maisha na kutafita wsnacho kipata lahashaa hawakua wajinga au mbumbumbu Bali walijielewa kwasababu iliwafanya wawe na sauti na kuheshimiwa katika maamuzi aijajua sababu ilikua ni kabla ya utandawazi au; likua ni tamaduni
Leo hii wasichana hutamani kua katika mahusiano na MTU ambae amejitosheleza kila kitu so dhambi wala kosa Bali hawato weza kuwa na sauti yeyote kwenye Mali alizozikuta na kuhisi ana nyanyaswa na hvyo kupelekea mahusiano meng kuvunjika na ndiko tunakoipata kauli ya "WANAUME WOTE NI MBWA"[emoji23]. Ndio madada zetu wamezoea kutuita hvyo yakiwazidia
Kwenye maisha ya ndoa jamani kikubwa kupata MTU mnae sikilizana mambo yote yatakua mepesi kwenu.kumtanguliza mungu kutawafanya muwe na furaha ya milele ndicho nnachomuomba mungu kila siku na naamini mkewangu mama wa familia Yangu ayatoka humuhumu JF naamini katika hilo.
bado naendelea kusisitiza natafuta mke maana mungu amenionesha yupo humu JF ajitokeze mapema ili watoto wasichelewe kuanza shule[emoji23][emoji23]
Haya ni mawazo Yangu naomba kuwasilisha..
Kwahyo unataka kusema wanawake wa miaka ya 90 hawakua na sauti sasa walikua wanaongeaje😂😂😂😂😂mkuu una miaka mingap kwanza, tuanzie hapo!
unaposema "enzi za babu zetu wanawake walikua na sauti" sijui unazungumzia enzi zipi, au unaongelea utawala wa Mkapa ndio enzi kwako![emoji23][emoji23][emoji23]
yani mwanamke wa 90 kurudi nyuma awe na sauti kwenye familia? jamii hizi za kitanzania? acha utani aiseee
Miss natafuta!so ukuje huku maana naona wananifokea sasakwa mawazo haya labda uongee na Miss Natafuta![emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
1.matunzoBinafsi napenda mwanaume anizidi umri but not more than 10 years
Pia asiwe na umri mdogo kuliko mimi au asiwe sawa na mimi.
Kibaiolojia mwanamke anawahi kukua kuliko mwanaume.
Lakini huwa wanasema umri ni namba tu!
Kinachomata ni upendo na maelewano.
hahhahahahhaaaaaa ilikua ubabe ubabe mkuu mambo ya sijui mwanamke kusikilizwa au kuheshimiwa hayakuwepo kabisa!Kwahyo unataka kusema wanawake wa miaka ya 90 hawakua na sauti sasa walikua wanaongeaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akiwa mama na baba bila mtoto,hiyo sio familia?Familia ni baba mama na watoto
Ila me nayakubali sana hayo maisha ya ndoa za miaka hiyo ya 90 kurudi nyuma maana hii demokrasia na sijui hakisawa,sijui hamsini kwa hamsini naona yanaleta dharau mnoo kama vipi turudi back tuishi hvyo maisha yataenda tu na wanawake mtambue mlikuja kumsaidia mwanaume na sio kumfanya ATM machine😂😂😂hahhahahahhaaaaaa ilikua ubabe ubabe mkuu mambo ya sijui mwanamke kusikilizwa au kuheshimiwa hayakuwepo kabisa!
demokrasia kwenye ndoa imeanza miaka ya 90's na kushamiri miaka hii ya 2000 na kuendelea!.......
btw, demokrasia usipokua makini inaua ndoa![emoji3]
Kwahyo unataka kunambia ni UKOO😂😂😂Akiwa mama na baba bila mtoto,hiyo sio familia?
Akiwa mama na baba bila mtoto,hiyo sio familia?
Eebhana hyo ndo uamuzi wa busara kabisa1.matunzo
2.matunzo
3.matunzo.............
aiseee mwanamke akipewa matunzo hawezi kuzeeka haraka kama wengi wanavyosema!
ila kama mme umepata gumegume hata kama umeolewa na miaka 22 ndani ya miaka 3-5 utakua kibibi wa 40yrs[emoji23]
muhimu ni kuomba Mungu upate mwenza anaejielewa bila kujali umri
Kumbuka mwanamke anawahi kukua1.matunzo
2.matunzo
3.matunzo.............
aiseee mwanamke akipewa matunzo hawezi kuzeeka haraka kama wengi wanavyosema!
ila kama mme umepata gumegume hata kama umeolewa na miaka 22 ndani ya miaka 3-5 utakua kibibi wa 40yrs[emoji23]
muhimu ni kuomba Mungu upate mwenza anaejielewa bila kujali umri
Kwahyo ni muhimu kuoa anaekuzidi sioKumbuka mwanamke anawahi kukua
Hata katika balehe anatangulia mtoto wa wa kike.
Hoja yangu iko hapo.
Mbona bebe Mama kanizidi 8 years Safi kabisa..
Heshima Kama zote.
Tunaelewana.
Tunasikilizana.
[emoji848]kuoa anaekuzidi tena?Kwahyo ni muhimu kuoa anaekuzidi sio
Huo ni mtazamo binafsi mkuuMaana hakuna palipo andikwa au kuwekwa sheria kwambi watu kwenye umri sawa ndo waoane but n maelewano tu