Kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu anayekuzidi umri sana ni hatari

Hapa kwenye kipindi cha seminars and presentations nakupa sifuri maana mpaka umemaluzia hitimisho haijulikani unasimamia wapi..
 
Hapa kwenye kipindi cha seminars and presentations nakupa sifuri maana mpaka umemaluzia hitimisho haijulikani unasimamia wapi..
Kama hujaona ninaposimamia basi tatizo utakuwa wewe [emoji4]
 
nachoona zamani mabinti wengi waliolewa na wazee au watu waliowazidi umri kuliko hata sasa hivi na pia walikuwa wana maamuzi madogo sana kuhusu ndoa zao.
Ni kweli the only difference ni Kwamba kwa sasa hao hao mabinti wadogo wanajipeleka wenyewe kwa wazee wenye fwedhaaa....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wenzie walimwambia Kama pekeyako tu maisha ni magumu amini ukioa yatakuwa magumu zaidi.
Akasema hapana..tutasaidiana.
Wakimwambia wanawake wanataka hela,tafuta kwanza hela,akasema wapo wasiopenda hela..eti wapo wanaopenda kuanza pamoja.

Kiukweli hakuna mwanamke anayependa shida.
 
Ni kweli the only difference ni Kwamba kwa sasa hao hao mabinti wadogo wanajipeleka wenyewe kwa wazee wenye fwedhaaa....

zamani walikuwa wanapelekwa na wazazi wao kwa wazee wenye mali au hadhi flani.. naona ni mabadiliko ya kimkakati tu katika kuwapata wazee😁
 
Pia hivyo hvyo hakuna mwanaume anaependa shida
 
Usije sema kabila "angukukoma "[emoji23][emoji23].
Usije sema mkwanja pia. Utanibagua pia.[emoji23][emoji23][emoji23].

Na ubaguzi sipendi kwa kweli...
Cha muhimu hela
[emoji1787]
Indalama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sioni shida kwenye mahusiano me kumzidi ke miaka hata kumi , cha msingi ni upendo wa dhati tu hapo
 
Umri sio tatizo, ata kama mwanamke akikuzidi miaka 10 sio issue. Kinachojenga ndoa ni upendo, heshima, busara na kila mtu kujua wajibu wake kama mwanandoa.

Dunia ya sasa imebadirika ata uoe unae mzidi miaka 100 kama hana busara, hekima na ajui wajibu na nafasi yake katika ndoa shida itakuwepo tu.
 
Wala sio hatari, mtu aliyekuzidi umri mkiwa kwenye mahusiano na yeye anageuka kuwa na akili kama mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…