Kuwa na mwanamke ambaye Wazazi wake walifariki akiwa mdogo huenda asiwe na mapenzi ya dhati?

Kuwa na mwanamke ambaye Wazazi wake walifariki akiwa mdogo huenda asiwe na mapenzi ya dhati?

Hii wanajf sijui imekaaje
Kwa watakao kuwa wamewahi kuwa na mahusiano na aina hizi mbili za wanawake huenda wameshakutana na hii kasumba

👉Mwanamke ambae wazazi walifariki akiwa chini ya miaka 24 kuna Ile namna anakosa muongozo Ata Ile Sauti ya baba au mama yake na ule upendo.
Ata kule ndoani kuna namna wanakuwa ni watu ambao wanakuwa wakavu na hawaogopi ata kuua, kuvunja mahusiano kwao sio tabu

👉Mwanamke ambae amekosa malezi ya baba huenda mama yupo.huyu nae kwa namna moja ama nyingine ukiwa nae ni kipengele pia

Hii imekaaje kitaalamu?
Ushawahi kuchunguza pia ndoa za wanaume ambao hawakupata malezi kamili ya wazazi wote,ama kwa wazazi kufariki,kuachana ama kulelewa na wazazi wa kambo?
 
Kama unatoa penzi la nguvu sana kisa unahudumiwa au kupewa Hela bas hiyo no biashara kama boashara nyingine ni location tofauti TU na wale was barabarani!!
There you are, mwanamke kutaka pesa ili ajitume opasavyo kitandani hana tofauti na wale waliowekeza katika kuuza miili. Tofauti ni kwamba mmoja ni domesticated na mwingine ni wa wote.
 
There you are, mwanamke kutaka pesa ili ajitume opasavyo kitandani hana tofauti na wale waliowekeza katika kuuza miili. Tofauti ni kwamba mmoja ni domesticated na mwingine ni wa wote.
Na ndivyo Hali kwasasa ilivyo!

Kuna biashara ya ngono kwenye ndoa!!au kutopewa ushirikiano kisa hujatoa Hela Fulani kwake au tarajio fulani,yaani kuhudumia familia pekee hakukupi uhakika wa unyumba!!
 
Na ndivyo Hali kwasasa ilivyo!

Kuna biashara ya ngono kwenye ndoa!!au kutopewa ushirikiano kisa hujatoa Hela Fulani kwake au tarajio fulani,yaani kuhudumia familia pekee hakukupi uhakika wa unyumba!!
Frankly wengi tumeoa kwa sababu mbalimbali ambazo si za msingi kwenye misingi ya ndoa.
Kuna waliooa kwa zababu ya mashinikizo ya kijamii.
Kuna waliooa kwa sababu ya matakwa ya ethics za kazi zao.
Kuna waliooa kwa sababu ya kuendeleza familia n.k
Ila all in all mara nyingi mwanamke hana cha kuoffer kwenye ndoa mbali na ngono ndo maana ndoa siku hizi ni asset kwa mwanamke wakati huo huo ikuwa liability kwa mwanaume.
 
We bado hujawajua wanawake, kwamba wenye wazazi hawaombi ombi hela?
Wanaomba sana tu Ila mimi babu ni miongoni Nilifiwa na mama yangu nikiwa mdogo nikabaki na mzee siku wahi kuona upendo ni nini ni naamini kama we can adapt language from our elders Kwanini love tusiadapt mtu ukue unaona wazazi wako wanaopendana utakua tu na ule moyo wa upendo

Nikaja nikadate mtu ambaye hakuwahi kumuona baba yake duh nilipata tabu ye amekuwa anamuona mama yake anaish kwo nayeye akawa anajiona kwamba anayaweza yote peke ake ubinafsi na Ile choyo kwa sana
 
Inategemea Baada ya kufiwa na hao wazazi mhusika aliangukia kwenye malezi ya nani!!

Kama aliemlea alimlea Kwa mateso mhusika anakua mkavu Sana na katili kuliko!!

Utoto wa mtu ndio hubeba hatma ya utu uzima wake!!wewe ulivyo Sasa ni matokeo Yako ya umri sifuri Hadi umri wa 18 miaka !!

Utu wako ni matokeo ya enzi hizo za utoto wako wakati unakua!!!
Kuna mmoja alisikika "Mama nilisha Zika siwezi Lea mama mwingine" maana yake hakupata mama mwingine wa kumlea vizuri kwa upendo!!

Baada
Kwanini panya road na wauza K wengi mjini ni wenye wazazi?
 
Naona kuwasema ke na me waliomkosa baba ndo fashion mpya

Thread zimekuwa nyingi humu

Kwani mtu anahusikaje na baba yake kufariki mapema au kuondoka nyumbani? inakuwaje kosa lake?
 
Hii wanajf sijui imekaaje
Kwa watakao kuwa wamewahi kuwa na mahusiano na aina hizi mbili za wanawake huenda wameshakutana na hii kasumba

👉Mwanamke ambae wazazi walifariki akiwa chini ya miaka 24 kuna Ile namna anakosa muongozo Ata Ile Sauti ya baba au mama yake na ule upendo.
Ata kule ndoani kuna namna wanakuwa ni watu ambao wanakuwa wakavu na hawaogopi ata kuua, kuvunja mahusiano kwao sio tabu

👉Mwanamke ambae amekosa malezi ya baba huenda mama yupo.huyu nae kwa namna moja ama nyingine ukiwa nae ni kipengele pia

Hii imekaaje kitaalamu?

Wanawake wanapaswa kupata mfano wa mapenzi ya baba, ili nae aje kuwa na mapenzi kwa mumewe. Asipopata mapenzi kama ya baba, especially kama aliteswa au kulelewa kwa ukatili. Wengi huwa hawaamini wanaume, wanakuwa makatiri na kuchukia wanaume. Tatizo kidogo tu, wao ni kubwa kwani hajawahi kumuamini mwanaume.

Kwa hiyo shida sio kuwa wazazi wake walifariki, linaweza kutokea hilo, lakini akalelewa na ndugu au walezi wengine wakampa mapenzi mema tu ya baba na mama. Shida ni pale anapokuwa mistreated.

Mbaya zaidi kwa jamii zetu mfumo dume ume tamalaki, hivyo nae anakuwa ameona mateso, manyanyaso ya wanaume kwa wanawake, na kwakuwa hana experience tofauti na hilo, lazima awe mgumu sana kwa wanaume.
 
Iko hivi; mtu (mtoto katika makuzi) anapopitia masaibu makubwa ya kuumiza moyo hasa (let say kafiwa na wazazi), kuteswa, kuish maisha ya mtaan akiteseka mvua yake, jua lake, mmbu wake, huwa anakuwa na moyo wenye ganzi, jambo baya lolote yeye kwake linakuwa la kawaida tu wala halichukulii uzito, imagine ni tatzo had watu wanashika vichwa, lakn kwake hata hashtuki kama hakuna jambo vile! Hapo kwenye kuvunja mahusiano hata hajiulz mara mbili wala hageuk.
 
Back
Top Bottom