Kuwa na mwanamke mzuri kisura ni raha sana, wanawake weupe wanakosha sana mioyo ya wanaume

cheupe lazma kipewe sifa halaf navyo vipenda naweza nikamhonga tanzania
 
Wengi wa type hiyo nanii zao zimepooooooa,hazivutii kurudia,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana.

Maisha haya, muyasikie tu.

Sikatai, kila Mtu anapata Mitihani yake.

Ila kuna Watu Mitihani yao ni mizito mno.

Kwa kweli Tumshukuru sana Muumba kwa kila Neema anayotujalia
 
Mwanamke ambae hataki weupe huyo hana hela ya vipododozi ninavyojua mm wanawake wote wanpenda weupe
 
Napenda dem mweupeeeee Kama minerva/widow wa into the badlands

bwayhermitTz
 
tatizo wengine wanadeka wanapitiliza mpaka mwanaume unahisi upo na Mziwanda wenu kumbe ni she bana
 
Aswaaaaa tukisaka chapaa watatuona weupe [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dahhhh maskini alijisikia vibaya basi hapo mmezaa Watoto wazuri balaa[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…