Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okiiiiiiiii....lolNilikuwa namjibu Mzigua90 aliyeandika nyinyi ndiyo mnaofanya tujichubue.
Wengi wa type hiyo nanii zao zimepooooooa,hazivutii kurudia,Mwanamke mwenye sura nzuri,macho angavu,midomo laini,na pia anayejua kudeka indeed huongeza ashki katika mapenzi.
Kama huna/haujawahi kudate na mwanamke mweupe kisura pole sana,pambana na hali yako
Mtoto white humfanya mwanaume aonekane mjanja na mwenye sound
Inasikitisha sana.Signature yako mkuu inanikumbusha kuna mkaka aliachwa mdogo sana na wazazi wake akiwa mdogo (Walifariki = Yatima) alikosa mapenzi ya pande zote na alinyanyasika kwa ndugu na kielimu pia alikosa in short alikosa haki za msingi kama mtoto.....mda mwingi anapenda sana kupost hii kitu (ujumbe) mbaya zaidi katika kukua akapata dem akazaa nae akafariki akamuachia katoto kachanga.
karibu mkuu
[emoji39] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Aswaaaaa tukisaka chapaa watatuona weupe [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]hahahahah ww sasa endlea kulia lia hapa!mie sio white alafu ni chocklate color! wala sijawah shawishika kujichubua na kuwa km majini aic! kwanza wanangu watacheka sana sana sana lol! tujikubali tu na rangi zetu muyego! hiyo pic ulotuma na mm nakaribiana na rang hyo na nina aman tele! tutafute tu chapaa!
Dahhhh maskini alijisikia vibaya basi hapo mmezaa Watoto wazuri balaa[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]hahahaha na mm zaman sikuwa napenda hata kuwaona wanaume weupe nilikua sn hisia nao kbs kbs yaan! cha kushangaza sasa nimeolewa na mume mweupeeeee ! ukimuangalia haraka utahis mwarabu ! ila niliwah mwambia sikuwa nawapenda wanaume weupe (alinuna balaa) ...wapo vzr sana tu! ila black men bado wanashika kibendera aic....ndukiiiiiiii
Asante dear ata wewe kama ndo katika picha uko vizuriuna rangi nzuri sana sana maana pic uliyotuma na kwa avatar ni ww usijikoboe mwaya tunza ngozi isiingiliw na chunusi basi!