Kuwa na mwanamke mzuri kisura ni raha sana, wanawake weupe wanakosha sana mioyo ya wanaume

Dah leo tumepata mtetezi?
 
Kweli mtoa mada nakubaliana na wewe asilimia zote watoto rangi nyeupe ni kila kitu Halafu ukute sio weupe wa dukani mashallah Napenda sana Mange kimambi na rangi yake sijui ntampataje?
Kwan mange mweupe?
 
Kweli kwenye maisha usikate tamaa,na mimi leo nimekuwa wa kwanza kucoment siamini!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jf sikuhz imekua nomaa yan kukoment wa kwanza imekua dili
Saint Ivuga hujawah kushika no moja tokea ujiunge jf fanya juu chini uwe wa kwanza
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jf sikuhz imekua nomaa yan kukoment wa kwanza imekua dili
Saint Ivuga hujawah kushika no moja tokea ujiunge jf fanya juu chini uwe wa kwanza
Mi kila siku wa kwanza sema kuna mods wana kisirani kwa vile nina mtoto mzuri kama ww wanafuta post zangu hawataki niwe kama joverest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…