Kuwa na mwanamke mzuri kisura ni raha sana, wanawake weupe wanakosha sana mioyo ya wanaume

Good analysis mazee! Umeelezea uhalisia kabisa,kwa kuongezea ktk point 1 & 2,hao wanawake wa hivyo wengi wao ni vilaza sana ktk sekta nyingi na kwakua wanajiona wao wanapendwa zaidi wanatumia miili yao kama source ya revenues na favors nyingine iwe vyuoni,makazini au mtaani.
~wanaringa na kujisikia sana.
~wanaongoza kutoa mimba sababu wanachezewa sana kutokana na kuringa kwao na kupenda pesa/favors.
~wengi wao hawana utu/huruma na kutokana na hilo wengi wanatumika ktk mission za kijambazi na utapeli mkubwa.
~ni nadra sana kukuta mwanamke white ana masters degree,PhD,au profesa.
~ni nadra sana kukuta mwanamke white kubembeleza au kung'ang'ania mapenzi especially kama kuna less maslahi.
~wanawake white kukusaliti au kufanya uamuzi wowote wa kukuumiza ni just a matter of split second.
~anaweza kukukosea ila wewe ndio wa kuomba msamaha (Kama ni mzuri na pesa anayo)
Zipo sifa nyingi sana ila kwa kifupi hao sio wa kuoa kama una akili zako timamu na ukioa hao jipange sana kisaikolojia.
NB.
SIO WOTE WAPO HIVYO.NA HATA BLACKS WACHACHE WAPO WENYE SIFA HIZO.
 
Mi nainjoy rangi zote za mademu wangu, nina wa black na natural white halfcast.

Kiukweli nampenda zaidi the white, ni mtamu sana kwa mapenzi full kudeka & superromantic, mtiifu,mwepesi wa kusema samahani. Shida ni kuwa akili yake imelala kidogo sio msharp wa kuchanganua mambo.

The black one nampenda kwa sababu tu ana akili na reasoning ya fasta pia ana utu. Hayupo romantic kabisa wala hajui mapenzi ni kufundishana kusiko na mwisho. Visirani sasa wee...

Mwishowe, rangi sio kigezo cha mwanamke kuwa mzuri kila rangi huongeza mvuto wake kwako na kujiamini.
 
Mhhj nyie ndo mnasababisha baadhi ya wanawake wapake mkorogo aisee
 
vipi ushafanya admision?,au matokeo hayakidhi?
 
Mwanamuke Mweusi Akipaka Nivea Anavutia Mafisi Ya Kiume Kama Sumaku Whites Wana Uhusiano Na Majini
 
Wewe utakuwa mhenga mkuu!!

Siku moja nilikuwa nimekaa na mzee fulani wa makamo, katika kuongea ongea mambo ya hapa na pale akaniambia akasema,

baba yake alimwambia asijekuoa mwanamke mweupe kwa kuwa rangi yao inawafanya wajione wako juu.

Hata mimi naamini sio wote kama ulivyosema.

Japo mke mweupe ana uwezekano mkubwa wa kukuzalia watoto weupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha mbona unaongea ukweli mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…