Cendy
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 1,250
- 2,309
Leo unekua wapiliAisee kumbe ndio hivyo..ila mbona kama ni uongo mkuu
the great
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo unekua wapiliAisee kumbe ndio hivyo..ila mbona kama ni uongo mkuu
We acha tu,ni raha hebu tupia na ka picha kushadidia uzuri wake
Ndio yeye Evelyn SaltHivi huyu dada ni nan?. Huwa namuona kwenye avatar ya evelyn salt
Good analysis mazee! Umeelezea uhalisia kabisa,kwa kuongezea ktk point 1 & 2,hao wanawake wa hivyo wengi wao ni vilaza sana ktk sekta nyingi na kwakua wanajiona wao wanapendwa zaidi wanatumia miili yao kama source ya revenues na favors nyingine iwe vyuoni,makazini au mtaani.Uchunguzi wangu mdogo niliweza kugundua ni haya....
1/Wanawake wengi wa Kiafrika wanapenda sana kuonekana weupe na wenye nywele ndefu (Yaani wanapenda kufanania na wazungu)
2/Wanawake wenye Ngozi nyeupe wanajiamini na Kujivunia zaidi rangi ya ngozi yao kuliko wanawake wenye rangi nyeusi, hiyo ni kwa sababu kiasili wako wachache kwenye jamii za kiafrika lakini pia kwa sababu ya kufanania na wazungu (Sikuwahi kuona popote pale Msichana mweupe akitamani kuwa mweusi)
3/Sehemu kubwa sana ya wanawake wenye rangi ya chocolate(maji ya kunde) kiasili wana rangi nyeusi, lakini kwa ujanja na utundu wa kutumia aina fulani fulani za matunzo ya ngozi kama mazingira, mafuta, lotion, cream na kemikali na kupelekea kuonekana wana rangi ya chocolate.
3/Rangi ya Chocolate asilia kabisa kwa sasa kwenye jamii ni nadra sana kuipata, wengi wao wameishaichakachua na kuwa nyeupe kabisa, na ni vigumu mno kuweza kugundua. (Kifupi kuna wanawake wengi wanaonekana ni weupe kabisa lakini kiasili ni maji ya kunde)
4/Ngozi, nywele na maumbile ya mwanamke wa Kiafrika wa kisasa yamebeba siri nyingi mno, yanatunzwa na kuboreshwa kwa mazaga zaga mengi kupita maelezo. Kiufupi wanawake wengi wa kiafrika wa kisasa kimwonekano ni Fake, Fake, Fake.....
5/Haijarishi mwanamke ni 'mbaya' kiasi gani lakini kama ana rangi nyeupe basi ataonekana 'mzuri' kwenye jamii, na haijarishi mwanamke ni 'mzuri' kiasi gani lakini kama ngozi yake ni nyeusi basi ataonekana wa 'kawaida' kabisa.
MY TAKE.
Binafsi naona mwanamke mwenye rangi nyeusi asili ndio mzuri(Mrembo) zaidi LAKINI tatizo kubwa sana la wanawake wengi wenye rangi nyeusi asili huwa hawajiamini na kujikubali hivyo mwisho wa siku huishia kuja kujichakachua ili wafananie na weupe na hapo ndipo hitimisho langu linaishia kwa kuona ni bora mwanamke mweupe wa Asili kuliko mwanamke mweusi asiyejiamini na kujikubali au anayetamani kujikachua kufanania na mweupe.
Dah, demu kama huyu anakunyonya damu yote kwa uzuri![]()
Hapa vp mkuu?
aiseeeLeo unekua wapili
the great
vipi ushafanya admision?,au matokeo hayakidhi?Mwanamke mwenye sura nzuri,macho angavu,midomo laini,na pia anayejua kudeka indeed huongeza ashki katika mapenzi.
Kama huna/haujawahi kudate na mwanamke mweupe kisura pole sana,pambana na hali yako
Mtoto white humfanya mwanaume aonekane mjanja na mwenye sound
Mimi nilitoroka umande,karibu huku nanjilinjili tulime matikitivipi ushafanya admision?,au matokeo hayakidhi?
Hatari sana ile kitu mkuuNdio yeye Evelyn Salt
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha ha mkuu na wewe uko nanjilinjiMimi nilitoroka umande,karibu huku nanjilinjili tulime matikiti
Wewe utakuwa mhenga mkuu!!Good analysis mazee! Umeelezea uhalisia kabisa,kwa kuongezea ktk point 1 & 2,hao wanawake wa hivyo wengi wao ni vilaza sana ktk sekta nyingi na kwakua wanajiona wao wanapendwa zaidi wanatumia miili yao kama source ya revenues na favors nyingine iwe vyuoni,makazini au mtaani.
~wanaringa na kujisikia sana.
~wanaongoza kutoa mimba sababu wanachezewa sana kutokana na kuringa kwao na kupenda pesa/favors.
~wengi wao hawana utu/huruma na kutokana na hilo wengi wanatumika ktk mission za kijambazi na utapeli mkubwa.
~ni nadra sana kukuta mwanamke white ana masters degree,PhD,au profesa.
~ni nadra sana kukuta mwanamke white kubembeleza au kung'ang'ania mapenzi especially kama kuna less maslahi.
~wanawake white kukusaliti au kufanya uamuzi wowote wa kukuumiza ni just a matter of split second.
~anaweza kukukosea ila wewe ndio wa kuomba msamaha (Kama ni mzuri na pesa anayo)
Zipo sifa nyingi sana ila kwa kifupi hao sio wa kuoa kama una akili zako timamu na ukioa hao jipange sana kisaikolojia.
NB.
SIO WOTE WAPO HIVYO.NA HATA BLACKS WACHACHE WAPO WENYE SIFA HIZO.
Ha ha ha mbona unaongea ukweli mkuu!!Wanawake wembamba ndo huwa wazuri na wanavutia sana kuwafanya wife.. Hata kama unatembea nae barabara unajihisi furaha moyoni.. Ila sasa ni wanaviburi alafu wakorofi balaa yaani kukusaliti haoni shida.. Tena ukute kembamba alafu alafu kana rangi ya chocolate... Uwiiiiiiiii hapo lazima ufe kabla ya siku ulizopangiwa na Mola.. Wanawake wembamba salam zenu popote mlipo ila punguzeni dharau baaaaasii
Ndo nimeandika nini[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]aiseee
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk