Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #21
Ni kweli, rekebisha tupate uhalisia mkuuHizo hesabu zako mbona kama vile hazina uwalisia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, rekebisha tupate uhalisia mkuuHizo hesabu zako mbona kama vile hazina uwalisia
😂😂😂Kwa sasa watoto wengi ni full tegemezi so ni hasara kuwa nao wengi
We una miaka ngapi kwanzaWazazi wengi tunatofautiana katika kuwa na idadi ya watoto; wapo wanaopenda kuwa na watoto wengi na pia wapo wanaopenda kuwa na watoto wachache.
Kwa jamii yetu ya kiafrika kwa walio wengi, mtoto anakuwa yuko tayari kujitegemea kwa mahitaji yake mwenyewe pale anapofikia miaka 30 na kuendelea; kwa hiyo atakuwa chini ya uangalizi wa mzazi kwa miaka yote 30.
Tuje kimahesabu
Makadirio
Gharama zao kwa miaka 30 ni = 10,000 x 365 x 30 x 5
- Mtoto kwa siku anatumia 10,000
- Mwaka una siku 365
- Atakaa kwa wazazi, miaka 30
- Idadi ya watoto 5
= 547,500,000/=
Inamaana wazazi watatumia kiasi hiki cha fedha (547,500,000/=) kuwakuza hao watoto mpaka wajitegemee, huku wazazi wakimiliki nyumba ya milioni 20
Bado hujaweka mavazi, ada za shule n.k
Kwa mantiki hiyo; Je, kuwa na watoto wengi ni 'Asset' ama ni 'liability'?
Kokotoa mkuu, tupate hesabu halisiWe una miaka ngapi kwanza
hizo Hesabu za Kilimo cha Mapapai na Matikiti maji, Ni hesabu hewa ambazo hazina Mshiko kabisa Labda Uwe unatoka Familia ya Kitajiri ila kama ni hizi zetu za Uswazi Basi Hizi hesabu sio mahala Pake
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Kukiwa na mali, changamoto lazima ziwepoKuna mzee mmoja bopa hatari toka kaskazini alikuwa na ukwasi Sana means bl 3+ uko na Masset ya kutosha Ila alikuwa na wake wa4 na watoto 21 Ila baada ya kufariki ni balaaa tupu Hadi mdogo mtu aliungana na wife wapili na watoto kugeuza will ya Mzee mahakamani ilifanikiwa Ila mtafaruku uliopo sio POA na wemeshaloose baadhi ya asset
Tupatie changamoto unazokutana nazoWatu tumeshazaa watoto wengi tayari, wa ndoa wa3 nje wa2.
Ushauri: zaa mmoja wakizidi wawili.
Hiv kwa hali ya kawaida 10000 kwa siku huyo mtoto anaitumia kwa kaz gan hasa?Ni kweli, rekebisha tupate uhalisia mkuu
Wazazi wengi tunatofautiana katika kuwa na idadi ya watoto; wapo wanaopenda kuwa na watoto wengi na pia wapo wanaopenda kuwa na watoto wachache.
Kwa jamii yetu ya kiafrika kwa walio wengi, mtoto anakuwa yuko tayari kujitegemea kwa mahitaji yake mwenyewe pale anapofikia miaka 30 na kuendelea; kwa hiyo atakuwa chini ya uangalizi wa mzazi kwa miaka yote 30.
Tuje kimahesabu
Makadirio
Gharama zao kwa miaka 30 ni = 10,000 x 365 x 30 x 5
- Mtoto kwa siku anatumia 10,000
- Mwaka una siku 365
- Atakaa kwa wazazi, miaka 30
- Idadi ya watoto 5
= 547,500,000/=
Inamaana wazazi watatumia kiasi hiki cha fedha (547,500,000/=) kuwakuza hao watoto mpaka wajitegemee, huku wazazi wakimiliki nyumba ya milioni 20
Bado hujaweka mavazi, ada za shule n.k
Kwa mantiki hiyo; Je, kuwa na watoto wengi ni 'Asset' ama ni 'liability'?
Huyo mtoto anaetumia elfu kumi kwa siku labda yule wa Hamisa mobeto! Mtoto anatumiaje hela ya kulisha familia nzima pekeyake?Wazazi wengi tunatofautiana katika kuwa na idadi ya watoto; wapo wanaopenda kuwa na watoto wengi na pia wapo wanaopenda kuwa na watoto wachache.